watusi

The Ankole-Watusi is a modern American breed of domestic cattle. It derives from the Ankole group of Sanga cattle breeds of east and central Africa. It is characterized by very large horns.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini ndugu zetu Wahutu na Watusi wasipromote kuoana zaidi ili Kuongeza Ushirikiano na Amani baina yao

    Today's Decision are tomorrow Realities..., Nadhani hawa ndugu zetu ni kama Petroli inafuka inahitaji Spark (cheche) kidogo tu ili moto kuwaka...; Sasa kwa faida ya vitukuu vyao kwanini wasichanganyikane zaidi na zao la mchangayiko huo lisitengwe ?; Haya mambo mwisho wa siku ni perception tu...
  2. Naomba tuweke mambo sawa Rwanda wahutu ni wengi kuliko watusi. Hii ni kwa wale ambao tumewahi fika Rwanda

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA Nimeona nije hapa niweke mambo sawa Maana nimeona Kuna watu wanapotosha sana Mimi nimefika Rwanda napajua vizur sana na nchini Rwanda wahutu ni wengi sana kuliko watusi Robo tatu ya watu wa Rwanda ni wahutu Asante sana kwa kunisikiliza Sisi wafuasi...
  3. Watusi walifikaje Mkoa wa Mbeya?

    Kuna jamii ndogo ya Watusi mkoa wa mbeya ambayo wamekua ni wenyeji kwa muda. Kwasababu ni jamii ya watu wachache si rahisi kunotice. Binafsi nimekutana na familia kama kumi hivi wengine wanajiita Wanyakyusa lakini ukiongea nao unakuta wana asili ya kitusi ni kama mababu zao walikuja siku...
  4. Kwanini watusi wanataka kutambuliwa Tanzania?

    Kama kuna kosa ambalo Tanzania inaweza kulifanya basi ni kupuuzia hawa watu wanitwa Watusi. Huko Congo, Burundi na Uganda n'ai walikua wakarimu kama Tanzania. Watu wa Congo Kinshasa walipokua wakiambiwa kuhusu ubaya wa Watusi, waliona kama watu wa mpakani wanachuki binafsi na majirani zao...
  5. Nini tofauti kati ya Wahutu na Watusi? Je, ni maumbile au lugha?

    Ninini hasa tofauti ya hizi jamii mbili wahutu na watusi? Mimi ninavyojua ni haya kama nakosea naomba kuelimishwa! 1. Wahutu ni wafupi watusi ni warefu 2. Kitusi ni lugha na kihutu ni lugha 3. Rwanda wanakaa watusi na Burundi wanakaa wahutu Maswali yangu! 1. Je, Burundi kuna watusi? 2. Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…