Grace Kuria
Wasichana 85 wa Kenya wamepoteza maisha katika muda wa siku 90 zilizopita, na takriban 1,000 kurejeshwa makwao, hasa kutoka Saudi Arabia.
Haya yalibainishwa na mteule wa Kenya katika nafasi ya Waziri wa Masuala ya Kigeni Dkt. Alfred Mutua, ambaye alisema wasichana hao walinyanyaswa...