Kwa sababu Warusi wamegoma kwenda kupigana kule Ukraine na kuachia wanajeshi wao kuendelea kuaawa kama nzige, serikali ya Urusi inaendelea kuwaachia mahabusu wa kila aina, vibaka, majambazi, wauaji, wabakaji n.k.
Wanatumwa wapambane miezi sita kisha kama hawatakufa vitani, watarudi mtaani...