Habarini,
Nimefanya huu uchunguzi usio rasmi, kwenye ndoa nyingi, ukiuliza mwanamke love story yake ya jinsi alivokutana na mmewe, utapata moja ya majibu haya:
1) Watakwambia hivi (nawanukuu)
"Yani huyu mume nilie nae wala hata sikuwa namuwaza, alitumia mwaka mzima kunitongoza, nilimzungusha...