Salaam Aleykum ndugu katika imani,
Nilisikiliza hii kauli ya mheshimiwa RC Dar Chalamila ikabidi kwanza nitafute hao uduvi wanaoongelewa hapa ni kitu gani, nikagundua uduvi ni dagaa wa kamba wale wadogo wenye mimba mingi.
Nikatembea kwa wauzaji wawili watu nikagundua waujazi uduvi huwa hawauzi...