Nimeamua kuandika makala hii bbaada ya kuona watu wengi Wanaibiwa , Kupigwa bei kali na kuuziwa simu feki au Bandia . Mbaka wengine wanaogopa kabisa kununua simu used kutoka nje…
Sisi kama SIMU KIDIGITALI tunauza sana hizi simu hazina shida yeyote , ila unahitaji kuzingatia mambo yafuatayo...
Ugomvi kati ya wateja na wauzaji wa simu, hasa hizi used za Dubai au refurbished, ni jambo linalotokea mara nyingi. Mara nyingi, chanzo kikuu ni pale simu inapoharibika, na mteja anataka kuirejesha ili abadilishiwe. Kuna wakati muuzaji anakuwa sahihi, na kuna wakati mteja anakuwa sahihi. Je, ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.