wavuta bangi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ni kweli kuwa Polisi hamvitambui vijiwe vya wavuta bangi mitaani au makusudi?

    Kuna mambo mengine yanachekesha sana na kutafakarisha sana imagine mjini kuna vijwe vya wavuta bangi lukuki tena karibia kila mtaa na vina fahamika. Ajabu ni kwamba kuna baadhi ya police wanaishi maeneo hayohayo wanapita wanaona na hawajari. Kuna mahali tulipita na jamaa tukakuta shina la bangi...
Back
Top Bottom