Nelson Amenya, kijana aliyefichua mazungumzo ya siri kati ya serikali ya Kenya na kampuni ya Adani Group ya India kuhusu mpango wa kuchukua usimamizi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) kwa miaka 30, sasa anadai kuwa maisha yake yako hatarini kutokana na vitisho alivyopokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.