Yule forward mweusi mwenye umbo kama drogba aisee sikumuona hata benchi jumamosi.
Ijumaa nakiona kiama kama kuna forward hatari kwa Sasa africa ni Mayele, yule wa mamelodi na huyu jamaa wa waydad.
Tuandae matanga kama taifa kuishusha bendera nusu mlingoti ni balaa tupu kule morocco.
Kama ulikuwa mfuatiliaji mzuri wa mechi mwishoni mashabiki wa Waydad walifukiza Moshi na kusababisha mashabiki kutoona na hata waliingia VIP kufanya vurugu ambapo kwenye uwanja wao wa nyumbani huwa ni utamaduni.
Je, hii inamaanisha uoga au? Dondosha lako tuichambue.
Baada ya ushindi wa Jumapili; uongozi wa Simba usijisahau sana Jumamosi kuna match ngumu sana kuliko ya Yanga.
Uhamasishaji ufanyike na pia Kikosi kijiandae kwa nguvu zote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.