Mnamo mwezi wa nne mwaka 2024, Kampuni ya kuchimba madini ya Barick walitoa barua kupitia wizara ya TAMISEMI kuwataarifu juu ya kufadhili ujenzi wa madarasa, mabweni na vyoo katika shule mbalimbali nchini. Serikali kupitia kwa wakuu wa shule na wakurugenzi wa halmashauli zote zilizopokea barua...
Tatizo la Kutokulipwa wakandarasi na wazabuni nchini limekuwa sugu nchini ambapo leo bungeni wabunge wameihoji serikali ni lini watawalipa watoa huduma hao wanaoidai serikali kwa kuwa kitendo cha kutokulipa kuna sababisha kudora uchumi
Mbunge Viti Maalum Asia Alamga Ccm, yeye alihoji ni lini...
Madeni ya jumla ya Sh21.7 bilioni ya wazabuni wa vyakula katika shule za msingi na sekondari kwa mwaka 2023/24 yamewasilishwa hazina kwa ajili kuhakikiwa na kulipwa.
Hayo yamesemwa leo Alhamisi, Agosti 29, 2024 na Naibu Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
Ili kukabiliana na mageuzi yaliyofanyika katika Sheria mpya ya Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2023, Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imejipanga kutoa mafunzo ya mfumo mpya wa kuwasilisha na kushughulikia malalamiko na Rufaa kwa njia ya kieletroniki (Complaint and Appeal Management) kwa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amewataka wazabuni wanaopata tenda za Serikali kwenye eneo la ujenzi kutumia vifaa vinavyozalishwa ndani ya nchi ili kuokoa fedha za kigeni.
Prof. Mkumbo ametoa wito huo Machi 14, 2024 akiwa Mkuranga, Pwani alipofanya...
Licha ya Serikali ya Tanzania kuwa na upungufu mkubwa wa Dolla ya kimarekani, haijatosha na bado serikali ya Tanzania Inaonekana kuwa na Uhaba mkubwa wa Fedha za ndani ambazo Ali maarufu wanaziita madafu yaani Tsh, Hali hii imepelekea maisha kuwa magumu mtaani Kwa minajili kwamba ajira nyingi...
Salamu,
Naomba kujua namna ambavyo Mzabuni anaweza kupanga Bei ya bidhaa wakati wa tendering. Je, Kuna Mwongozo WOWOTE wa kisheria au Kanuni?
Mfano ..Kama Bei ya nyama sokoni ni Sh.8000/ ,au Sembe Kg ni Sh.1500/
Hapo Bei za Zabuni zinakuwaje?
Niende moja kwa moja kwenye hoja kwa mda sasa serikali imekuwa ikipeleka pesa za maendeleo ya miundombinu katika halmashauri zake mfano pesa za ujenzi wa vituo vya afya, pesa za ujenzi wa madarasa, pesa za ujenzi wa nyumba za watumishi,na pesa hizi zimekuwa zikiingia moja kwa moja kwenye...
Habari!
Hii habari nimeileta hapa kama tetesi ili kujilinda na watu wapumbavu ambao hao kila kitu utawasikia wanauliza source au kutaka utaje jambo direct.
Kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuwekwa wazi kwa % nyingi hasa kipindi hayajaiva.
Ni kwamba viongozi wateule wanajichotea pesa za umma...
Moja ya shirika linalohitaji reshufle kubwa sana ni DAWASA. watendaji wamezoea kufanya kazi kwa mazoea. CEO wao ndio usiseme. Hana uwezo, anaishi kwa mazoea ya awamu ya tano.... kisa he was favorite
Zaidi ya wakandarasi 20. Wazabuni 14 wanaidai shirika hilo toka December mwaka Jana. na wengne...
Mbunge wa Jimbo la Mkinga, Dunstan Kitandula amesema bado kuna madeni makubwa ya Wazabuni waliofanya kazi STAMICO na Kampuni zake tanzu. Asema zoezi la Serikali kutathmini madeni hayo limefanywa kwa muda mrefu
Amesema, "Vyombo vyetu vimefanya kazi hii, Tuache kigugumizi cha kuwalipa wazabuni...
Takribani wazabuni 66 kutoka ndani na nje ya nchi wamejitokeza kununua Nyaraka za Zabuni za ujenzi wa mradi wa Umeme wa kiasi cha megawati 2100 katika maporomoko ya maji ya Mto Rufiji (Stiegler’s Gorge) mkoani Pwani hadi kufikia tarehe 19 Septemba, 2017.
Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.