wazabuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kampuni ya Barick imeshindwa kulipa Wakandarasi, wazabuni na mafundi walitekeleza miradi ya ujenzi wa Madarasa, Mabweni na Vyoo katika shule t nchini

    Mnamo mwezi wa nne mwaka 2024, Kampuni ya kuchimba madini ya Barick walitoa barua kupitia wizara ya TAMISEMI kuwataarifu juu ya kufadhili ujenzi wa madarasa, mabweni na vyoo katika shule mbalimbali nchini. Serikali kupitia kwa wakuu wa shule na wakurugenzi wa halmashauli zote zilizopokea barua...
  2. Wazabuni na wakandarasi mnayoidai serikali mtasubiri sana, Naibu Waziri Fedha asema wanahakiki wakipata pesa watalipa

    Tatizo la Kutokulipwa wakandarasi na wazabuni nchini limekuwa sugu nchini ambapo leo bungeni wabunge wameihoji serikali ni lini watawalipa watoa huduma hao wanaoidai serikali kwa kuwa kitendo cha kutokulipa kuna sababisha kudora uchumi Mbunge Viti Maalum Asia Alamga Ccm, yeye alihoji ni lini...
  3. TAMISEMI: Madeni ya Wazabuni wa Vyakula Mashuleni yatalipwa baada ya uhakiki

    Madeni ya jumla ya Sh21.7 bilioni ya wazabuni wa vyakula katika shule za msingi na sekondari kwa mwaka 2023/24 yamewasilishwa hazina kwa ajili kuhakikiwa na kulipwa. Hayo yamesemwa leo Alhamisi, Agosti 29, 2024 na Naibu Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa...
  4. PPAA yajipanga kuwanoa Wazabuni, Taasisi Nunuzi juu ya mfumo mpya wa kuwasilisha Rufaa Kieletroniki

    Ili kukabiliana na mageuzi yaliyofanyika katika Sheria mpya ya Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2023, Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) imejipanga kutoa mafunzo ya mfumo mpya wa kuwasilisha na kushughulikia malalamiko na Rufaa kwa njia ya kieletroniki (Complaint and Appeal Management) kwa...
  5. Prof. Kitila: Wazabuni eneo la ujenzi, tumieni bidhaa zinazozalishwa Nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amewataka wazabuni wanaopata tenda za Serikali kwenye eneo la ujenzi kutumia vifaa vinavyozalishwa ndani ya nchi ili kuokoa fedha za kigeni. Prof. Mkumbo ametoa wito huo Machi 14, 2024 akiwa Mkuranga, Pwani alipofanya...
  6. U

    Hazina Haina Kitu: Wazabuni, Makandaradi, Madeni, ni taabu

    Licha ya Serikali ya Tanzania kuwa na upungufu mkubwa wa Dolla ya kimarekani, haijatosha na bado serikali ya Tanzania Inaonekana kuwa na Uhaba mkubwa wa Fedha za ndani ambazo Ali maarufu wanaziita madafu yaani Tsh, Hali hii imepelekea maisha kuwa magumu mtaani Kwa minajili kwamba ajira nyingi...
  7. M

    Wazabuni huwa wanapangaje bei za bidhaa?

    Salamu, Naomba kujua namna ambavyo Mzabuni anaweza kupanga Bei ya bidhaa wakati wa tendering. Je, Kuna Mwongozo WOWOTE wa kisheria au Kanuni? Mfano ..Kama Bei ya nyama sokoni ni Sh.8000/ ,au Sembe Kg ni Sh.1500/ Hapo Bei za Zabuni zinakuwaje?
  8. N

    TAMISEMI, mmebariki Halmashauri kuwa wazabuni wa taasisi zake?

    Niende moja kwa moja kwenye hoja kwa mda sasa serikali imekuwa ikipeleka pesa za maendeleo ya miundombinu katika halmashauri zake mfano pesa za ujenzi wa vituo vya afya, pesa za ujenzi wa madarasa, pesa za ujenzi wa nyumba za watumishi,na pesa hizi zimekuwa zikiingia moja kwa moja kwenye...
  9. Mabosi hutumia akaunti za benki za watu binafsi, wazabuni na wakandarasi kuchota pesa za Serikali. Serikali imulike taasisi ambazo CAG hana ubavu nazo

    Habari! Hii habari nimeileta hapa kama tetesi ili kujilinda na watu wapumbavu ambao hao kila kitu utawasikia wanauliza source au kutaka utaje jambo direct. Kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuwekwa wazi kwa % nyingi hasa kipindi hayajaiva. Ni kwamba viongozi wateule wanajichotea pesa za umma...
  10. P

    Rais Samia Mulika DAWASA, CEO wao hana uwezo, Wakandarasi na Wazabuni muda mrefu hatujalipwa

    Moja ya shirika linalohitaji reshufle kubwa sana ni DAWASA. watendaji wamezoea kufanya kazi kwa mazoea. CEO wao ndio usiseme. Hana uwezo, anaishi kwa mazoea ya awamu ya tano.... kisa he was favorite Zaidi ya wakandarasi 20. Wazabuni 14 wanaidai shirika hilo toka December mwaka Jana. na wengne...
  11. Mbunge ataka wazabuni wanaoidai STAMICO kulipwa, ataka Serikali iache kigugumizi

    Mbunge wa Jimbo la Mkinga, Dunstan Kitandula amesema bado kuna madeni makubwa ya Wazabuni waliofanya kazi STAMICO na Kampuni zake tanzu. Asema zoezi la Serikali kutathmini madeni hayo limefanywa kwa muda mrefu Amesema, "Vyombo vyetu vimefanya kazi hii, Tuache kigugumizi cha kuwalipa wazabuni...
  12. Wazabuni 66 wajitokeza mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge

    Takribani wazabuni 66 kutoka ndani na nje ya nchi wamejitokeza kununua Nyaraka za Zabuni za ujenzi wa mradi wa Umeme wa kiasi cha megawati 2100 katika maporomoko ya maji ya Mto Rufiji (Stiegler’s Gorge) mkoani Pwani hadi kufikia tarehe 19 Septemba, 2017. Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…