Hawa ndo wenyeji wa jiji la Dar. Wamefukuzwa wamekufukuziwa huko pembezoni mwa Mji na bado wanafuatwa kama vile haitoshi.
Nashauri ni wakati wa sasa nao kudai jiji lao maana wamekuwa watumwa na watu wa daraja la chini. Mi naumia sana. Sisi tuna nyumba mitaa flani ndo tumebaki sisi tu baada ya...
Licha ya kwamba tumekuwa tukiwaponda sana Wazaramo kwa tabia za kupenda ngoma na shughuli na mafiga matatu lakini leo wacha niwaeleze sifa za wanawake wa Kizaramo.
Hawa mademu wa Kizaramo wana sifa kuu mbili ambazo mwanaume yeyote anazihitaji, kwanza wanajua mapishi hasa ya nazi na pili kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.