Washirika wa kundi la kidini Nchini Australia wamefikishwa Mahakamani wakituhumiwa kumuua Binti aitwaye Elizabeth Struhs mwenye umri wa miaka nane mwenye kisukari kwa kumnyima matibabu na badala yake kusali wakiamini kuwa Mungu atamponya.
Elizabeth alikutwa akiwa amefariki katika nyumba moja...