Kama wewe ni mzazi huu ni ushauri wako;
1. Msomeshe mwanao shule za gharama nafuu ila msimamie na tution juu, kisha Miliki mali nyingi ili umpe mtoto urithi hata kama mwanao akisoma kayumba siku ukifariki
litasema baba au mama jembe... ila sasa kosea lipeleke shule za milioni tatu.. limalize...