Ninatoka familia duni sana ambayo kipato chao,mlo wao na ata makazi yao ni duni sana
Nina wakubwa zangu Ila na wao wote wana familia zao na wao pia hali zao zipo chini sana kiuchumi, kwahiyo pale nyumban nimebaki mimi na wadogo zangu wengine ambao na wao bado wanasoma
Mimi ndio mtu wa kwanza...
"Based on a True Story "
SEHEMU YA 1
"Tina! twende baba yangu amekuja" Haya ni maneno ya rafiki yangu Emmy mchana ya Siku ya jumamosi ya mwisho wa mwezi.
"Mmh! Wewe nenda ukirudi utanikuta" nikamjibu
" Twende nikakutambulishe baba yangu hana shida, lazima ameniletea chakula na huku bwenini...
Mwaka 2009 wakati nikiwa form 3 nilienda kanisani na kumwambia baba mchungaji nataka kubadilisha jina hili walilonipa wazazi wangu silitaki.
Eti wamenipa jina la babu yangu mzaa baba, babu mlevi kiwembe balaa kwa madem, alikuwa na utajiri wa ng’ombe 500 mbuzi kibao wote kahonga madem, mifugo...
Habari wanaJf, mimi ni kijana niliyehitimu kidato cha sita mwaka 2021 katika tahasusi ya HGL, baadae nikaanza biashara yangu ya mpesa, mwaka huo sikuomba chuo kutokana na matatizo ya kifamilia.
Mwaka jana nikaomba chuo course ya sheria ila nikakosa mkopo, nikaamua kujikita kwenye biashara...
Watu wengi wana mapenzi ya dhati kwa wazazi wao. Mapenzi haya bila shaka yanayokana na namna mzazi anavyotekeleza wajibu wake wa kulea familia aliyoanzisha. Mapenzi haya ya watoto kwa wazazi hayalazimishwi.
Mapenzi ya namna hii yanaweza pia kuwepo kwa wananchi kuipenda nchi yao pale viongozi...
Habarini wakuu! Ni mimi kijana wenu humu jamiiforums nina miaka 21, kama mnavyojuwa umri huu bado nipo masomoni chuo flani hivi apa dar na bado nipo home.
Sasa tuludi kwenye mada, unajua nini hapa home sipaelewi sikuhizi nimekuwa nikichukiwa pasipo na sababu za msingi, hasa bi mkubwa amekuwa...
Utamaduni huu naomba kwangu ubaki maana Ndoa nyingi siku hizi hakuna japo tunaona sherehe nyingi sana kuliko Ndoa.
mimi naomba wazazi wangu wanitafutie mke atakayenifaa hivo tu sijajua kwako kijana mwenzangu una maoni gani juu ya hili.
Hivi ni wote mna wazazi kama wangu? Au mliwahi kuwa na wazazi kama wangu?, Najua ambao hamuelewi nini nazungumzia hapa haiwezi kuwaingia akilini au pia mnaweza kuhisi labda sina akili timamu na wale ambao kwa bahati mbaya mlishapoteza wazazi wenu basi pia hii tungo haitowaingia akilini, ila aina...
Kambi ya Fisi
Mimi sijambo. Shikamooni.
Huku Dar joto tu baba na mama. Mambo mengi muda mchache.nashukuru kama mnaniombea ni jambo jema.Nami nawaombea pia.
Huku mjini baba siyo kama huko Kiparang'anda.eti umpate mchumba asikujaribu na wewe umsimjaribu. Mbona unatalia kilio cha mbwa mdomo juu...
Habari wanajamvi,
Kwa muda sasa kuna jambo limekua linaniumiza na nimekosa pa kuliongelea kwa uhuru ila naamini humu nitapata hekima na busara zangu.
Kama ilivyo ndoto ya kila mzazi anaesomesha mtoto ni ili mtoto ajisimamie na awe msaada kwa wazazi na nduguze baadae. Hivyo ndivyo ilivyokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.