Naona wazee wamesha lamba asali na imekolea utamu! Mpaka nao hawana maana wamekalia uchawa! Tunaenda wapi?
Taratibu CCM wanaanza kuingiza mambo za kupita bila kupingwa, tusipokaa vizuri hii itasongea mpaka kwenye uchaguzi Mkuu warudishe mambo mambo za 2020.
Imeanza kwa Samia na Nchimbi...