wazee vita vya kagera

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Miaka 60 ya Jeshi la Wananchi pasipo suluhisho kwa wazee wetu waliopigana Vita ya Kagera

    Leo tumeshuhudia miaka 60 ya jeshi letu, tumefurahi, tumekunywa na tumekula. Hongereni sana. Changamoto yangu katika jeshi letu limewasahau wazee wetu waliopigana vita vya Kagera pasipo kuwapa japo kifutia jasho cha vita. Leo wazee wetu hawana hata shughuli za kufanya zaidi ya kusubiri kifo tu...
Back
Top Bottom