Je, Taifa halina wenyewe kiasi kwamba Rais wa nchi ndivyo anakuwa final, na nchi imekosa Wastaafu wa dhati kabisa kusema kauli njema zenye kuakisi tunu ya hekima na busara za Taifa hili, seriously?
Are we in a dead state? Like serious? The state is torn to that extent?
Uhuru wa maoni ya...
Hapa namaanisha wazee kuanzia miaka 50 kuendelea. Wengi wao wanapenda kuvaa masuruali makubwa mapana akisimama linakuwa linatuna mbele na nyuma kama puto alaf limejikunja.
Jamani vaeni suruali zinazowatosha masuruali makubwa makanyela muno kama meyajambia yanawachoresha tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.