wazee wa nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Christopher Wallace

    Mbona hatuwasikii wazee wa Dar Es Salaam awamu hii ya sita?

    Zamani awamu za nyuma, kulikuwa na wazee wa Dar es salaam. Hawa mara kwa mara wangeweza kufanya vikao na mkuu wa nchi kuhusiana na mambo mbalimbali ya nchi. Awamu iliyopita ni kama walipuuzwa na awamu hii ni kama wamesahaulika. Je zama zao zimekwisha?
Back
Top Bottom