wazee wa simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Leo Baleke ni wa kucheza ndondo Magunia Msasani? Tukana/Kashifu watu wote ila siyo Wazee wa Simba SC kwani huwa hatanii wakikuamulia

    Halafu mwambieni asipoteze muda kuwatafuta Wazee wa Simba SC wamsamehe kwani hiyo 'Pini' ni ya kudumu daima.
  2. Rozela

    Refa kutunyima Penati ya wazi: Wazee wa Simba watoe tamko.

    Kwanini refa ametunyima penati? Baada ya kipa kupata kadi mbili za njano ilibidi tupate penati ili kufidia dakika zetu. Yani alivyotoa kadi yapili ya njano angetenga mpira kwenye box, na azuie mtu yeyote kukaa golini ili mutale afunge tuongoze ligi. Kwa maamuzi haya ya leo ya refa wazee watoe...
  3. M

    Hivi wale Wazee wa Simba waliotoa siku 7 kwa TFF, Wizara ya Michezo na Bodi ya Ligi kuomba radhi baada ya kichapo, zile siku hazijaishaga mpaka leo?

    Wale wazee wa simba waliitisha press na waandishi wa habari baada ya kichapo na kutoa siku 7 kuombwa radhi vinginevyo wangefanya jambo but mpaka sasa ishapita miezi karibu mitatu tunajiuliza waliishia wapi? Tunalisema hili mapema maana zile kelele ziko njiani Tena kurudi kwa namna mambo...
  4. KAGAMEE

    Mnaojua kuhesabu siku bado zile siku 7 walizotoa wazee wetu hazijaisha?

    Mnaojua kuhesabu siku bado zile siku 7 walizotoa wazee wetu hazijaisha? Pia soma - Wazee wa Simba wagundua mbinu zilizo wahujumu mechi ya derby
  5. L

    Baada ya kuwasikiliza na kutafakari sana naunga mkono hoja za wazee wa Simba kwa asilimia 100%

    Juzi wazee wetu wameitisha Press na wameongea sana, kwa watu wasiojua ball ambapo wamekuja mjini miaka ya hivi karibuni akina Eddo Kumwembe na wachambuzi wenzako wajinga wajinga ambapo elimu zao ni za kuunga kuunga wanachukulia poa kauli za wazee wetu na kuona hazina mashiko. Ukweli ni kuwa...
  6. THE FIRST BORN

    Press ya Wazee wa Simba Imeniumiza sana kama Taifa tuna safari ndefu

    Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa. Juzijuzi yameitishwa Maandamano hakuna alietokeo Maandamano ambayo Lengo kubwa lilikua ustawi wa watu ambao ni Watanzania. Leo hii Team imefungwa imeitisha press na inatoa Tamko😂😂 wakaongeza Kuna watu walikua wamekasirika wanataka kuandamana kisa...
  7. U

    Wazee wa Simba wagundua mbinu zilizo wahujumu mechi ya derby

    Wazee wa Simba wameitisha mkutano na waandishi wa habari na kulaani mambo mengi yaliyotokana na kipigo kutoka yanga. 1. TFF wanapokea maagizo kutoka Kwa mawaziri wakiongozwa na Mwigulu kuhakikisha Yanga wanafaulu Simba wanafeli. 2. Philip Mpango alisema SIKU YA YANGA DAY KUWA YANGA ATAKUWA...
Back
Top Bottom