wazee wa yanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. upupu255

    Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba

    Wazee wa Yanga waibuka sakata la mechi ya Singida, wamshukia Jemedari Said pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali wanao sapoti Simba "Kuna baadhi ya viongozi wa nchi wanasema Yanga ifungwe, sasa kwa hali hii Refa hawezi kuchezesha mpira" MPIRA”. Huyo ni moja ya mzee wa Yanga akiwalalamikia...
  2. C

    Kwa mujibu wa mzee Magoma Yanga ule sio uwezo wao bali wa wazee

    Akihojiwa leo baada ya ushindi wa goli nne,amekiri ule sio uwezo wa Yanga kwani walikwenda kuwaangukia wazee na yeye anasema walichomoa waya mmoja wa mechi za ligi. Hata hivyo bado waya wa mechi za kimataifa hawajachomoa hadi viongozi waeleweke. Ameendelea kusema kuwa,wakieleweka tu hata...
  3. L

    Nawapa za ndaaaani kuhusu bifu la Wazee wa Yanga na Injinia Hersi hadi jana kufungwa na Azam

    Yanga wana timu nzuri sana na hata jana tumeona licha ya kuwa wamefungwa wakiwa pungufu lakini Azam waliomba poo, mimi ni mtu wa mpira siongelei mpira kiushabiki ama kutafuta followers, nimekaa kwenye tasnia ya soka la bongo tangu mwaka 1989 nikiwa naingia bure uwanja wa uhuru, enzi hizo Sigara...
Back
Top Bottom