wazee wa zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini wazee wa zamani waliweza kuishi na ndugu wengi nyumbani, lakini kizazi hiki ni ngumu kuishi na ndugu?

    Nimefikiria sana mpaka nimekosea majibu, tulizaliwa watoto saba nyumbani, na ndugu waliokuja kuishi nyumbani kipindi tunakua wanafika 6, hao waliosomeshwa na mzee, japo wengine walikua wanakuja na kuondoka, mabinti wengine walikua wanakuja kujifunza cherehani na kuondoka, na sio kwamba mzee...
  2. Uongo wa wazee wa zamani wa Tanzania kuhusu mpira

    Hivi nyie wazee huwa mnatuchukuliaje vijana utakuta mzee anasifia wachezaji wa zamani unaweza kusema hao wachezaji waliipa Tanzania ubingwa wa dunia yaani katika vitu vinanikera mizee kusifia magarasa ya zamani eti zamani kulikuwa na mpira sio Sasa. Hiyo zamani yenyewe waulize hata kombe la...
  3. Ndoa ni muungano uliofeli

    Nimeona machapisho mengi kuhusu ndoa zisizofanikiwa. Kuna sababu nyingi zinazochangia ndoa kufeli ambazo ni pamoja na kudanganywa, kukosa uaminifu kati yao, Ukata wa fedha. Lakini Wengine huamka tu asubuhi na kugundua kuwa wake zao/mme wake hana mvuto tena [walimlazimisha ]. Hizi ni baadhi tu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…