Kuna vitu vinashangaza mnoo katika siasa za CCM ambapo kile kinachoimbwa majukwaani (kuwawezesha vijana na wanawake) ni tofauti kabisa na kile kinachofanyika. Hili la wazee wastaafu waliochoka na kuchokwa kurejeshwa kinguvu kwenye ulingo wa kisiasa ni miongoni mwa maajabu ya siasa za CCM.
Hizi...
Baba yangu alikuwa mwaliimu, alistafu mwaka 2014 baba yangu mdogo wa hiari alifuata akastaafu 2015.
Kimbembe ni kwamba tangu walipostaafu miaka ile mpaka tunapoongea muda huu hawajapata hata Senti tano sio pspf wala pension sijui kiinua mgogo hawajapata mpka leo.
Kuna vitendo ambavyo...
Mimi ni mtoto wa mmoja wa Wazee Wastaafu wa Kiwanda cha Maturubai (CANVAS) mkoani Morogoro ambao wamekuwa wakidai fidia zao kwa zaidi ya miaka 25 sasa bila mafanikio yoyote huku ikisemekana kwamba Hazina ndio kikwazo kikubwa katika mchakato huu.
Nimelazimika kuandika huku Jamii Forums baada ya...
Leo mkijifanya mnasherehekea kwa mbwembwe na ukwasi mkubwa kumbukumbu ya mashujaa, nimekaa hapa na askari mstaafu wa JWTZ aliyeishia cheo cha Staff Sargent na alikatikia mguu akiwa vitani Uganda 1979 na mzee huyu analipwa pension na Hazina shs 100,000/ kwa mwezi.
Hawa ndio wastaafu ambao baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.