Wadau kama mtakumbuka Waziri Silaa alipoteuliwa tu kuwa Waziri ktk siku zake 100 za kwanza moja ya maagizo yake mazito ni hili la kuzuia ujenzi wa vituo vya mafuta nchi nzima na kuwataka makamishna wasaidizi wa mikoa kumpelekea orodha ya vituo vya mafuta vikionesha umbali toka kituo hadi kituo...