Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ambaye sasa ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi, Disemba 08, 2024...