Wasalaam, Wana jukwaa. Kufuatia hiki kizungumkuti Cha Idadi kubwa ya waalimu wasio na ajira hata kuelekea kuunda chama chao, huku kukiwa na Idadi kubwa ya upungufu wa waalimu kwa mashule mengi yaliyojengwa Kila Kona ambapo inatajwa upungufu huo ni 276,000 na walioko Mtaani 146,000 🙃🙃.
Tumieni...
Mama mzazi wa Martha Mwaipaja amezungumza na kuthibitisha kuwa yale yaliyosemwa na mdogo wake, Beatrice Mwaipaja kuwa muimbaji huyo wa 'Hatufanani' hamsaidii.
Akizungumza kwa uchungu kwenye mahojiano na Wemu Online TV, Mama huyo amesema alizaa watoto watatu wakiwemo Martha na Beatrice...
Siku hizi baadhi ya wanawake wamekuwa wakiitumia mitandao ya kijamii kujitangazia biashara ya ukahaba wanayoifanya jambo linalohatarisha usalama wa maadili katika jamii yetu.
KUpitia mtandao wake Instagram Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum Dkt. Dorothy Gwajima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.