Kitu kitakachokumbukwa sana kwenye bunge la bajeti mwaka huu 2024 utakuwa mjadala wa sukari kati ya Mpina na Bashe.
Dkt. Tulia ameuliza swali la msingi sana kuhusu muda ambao viwanda vyetu vinahitaji ili viweze kuzalisha sukari kwa utoshelevu na hatimaye bei iwe sawa na nchi zilizotuzunguka...
Asalam,
Leo nimeona sio mbaya kujadili mada hii,
NBS inaonesha karibia 65% ya Watanzania wanajihusisha na kilimo. Kilimo cha kujikimu na kiasi kidogo kubadilishia mboga. Tukichanganya ufugaji na uvuvi kama sehemu ya kilimo (maana karibu wate hawa ni wabangaizaji) basi ni 83%. Sasa maswali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.