Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema ujenzi wa kituo cha kuchochea bunifu za TEHAMA (Innovation Hub) kinachotarajiwa kujengwa mkoani Tanga, kitasaidia vijana wa mkoa huo kujikwamua kiuchumi.
Waziri Silaa ameyasema hayo tarehe 23 Januari, 2025...
TAARIFA KWA UMMA
Kwa mujibu na mamlaka aliyopewa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa (Mb) chini ya Kifungu cha 9 (1) cha Sheria ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) ya Mwaka 2009 amemteua Mhandisi Peter Phillip Mwasalyanda kuwa Afisa...
Ukweli nashangaa kabisa. Yani kubadilishiwa wizara ndio kupotea? Au kupotezwa? Kwani huko mawasiliano hakuna kiki? Hakuna kero za moja kwa moja kama ardhi?
Au ni waziri mpya wa ardhi hana ajenda? Au Jerry alimaliza kero zote? Aisee...! Kwa hiyo huko mawasiliano waziri kakosa hoja za kuja nazo...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) kwa mamlaka aliyopewa kwa mujibu wa Sheria ya Mashirika ya Umma Na. 2 ya mwaka 1992 ameivunja Bodi ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania (TSN) kuanzia tarehe 18 Septemba, 2024.
Kampuni hii ya Magazeti ya...
Habari za majukumu Waziri Mteule wa Habari,
Sisi wananzengo, tunakuomba ukishaapishwa tu, jambo la kwanza la kutilia mkazo katika vipaumbele vyako ni Internet ya Elon Musk.
Tunaomba Star Link wapewe vibali hapa Tanzania maana mtangulizi wako alikataa kata kata.
Tunaomba usije ukawekwa mfukoni...
Mr. Jerry Silaa and You call Yourself a "Lawyer"?!.
Yaani a member of Tanganyika Law Society can behave in this most abhorrent way;like seriously?
My brother Alberto Msando: don't You talk to these Junior people [honestly I cannot refer to him as a lawyer] to school them on how to behave when...
Vifungu vya 7 na 15 vya Sheria ya Tawala za Mikoa ya mwaka 1997 imempa mamlaka Mkuu wa mkoa kuweka Mtu mahabusu Kwa masaa 48 (kif.7). Mkuu wa wilaya sheria imemruhusu kumweka Mtu ndani Kwa masaa 24 (kif.15) pale inapothibitika Mtu Huyo anàhatarisha Amani ya mbele yake.
Nimejaribu kuisoma sheria...
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amekutana na kufanya kikao na watumishi wa sekta ya ardhi mkoani Kigoma leo tarehe 6 Julai 2024.
Katika kikao hicho Mhe. Pinda alipata fursa ya kusikiliza changamoto za watumishi katika mkoa huo kwa lengo la kuzitafutia...
Shikamoo Mheshimiwa
Shikamoo Kaka
Shikamoo Kiongozi
Shikamoo Kiongozi Mtenda Haki
DHUMUNI la kukuandikia waraka huu, kwasababu wewe ni mmoja ya viongozi ambae amekuwa anawatendea sana haki watu wanaodhurumiwa au kutaka kudhurumiwa mali zao(ardhi), maana dhuruma za ardhi nyingi zinatokana na...
Huyu Jerry Silaa ni Deo Filikunjombe mtupu, Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri atatufaa CCM 2030 Kwenye Urais!
Huyu jamaa ukimtazama haraka haraka unaweza kumchukulia poa Ila spiritual na kiuzalendo yuko vizuri kuliko Mawaziri wote nadhani.
Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri. 😂
Sabato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.