Baadhi ya vigogo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliogombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Jumuiya ya Wazazi, wamebwagwa akiwamo aliyekuwa Mwenyekiti Dk. Edmund Mndolwa.
Vigogo wengine walioshindwa ni Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk. Angelina Mabula, na Mkuu wa Mkoa wa...