Kwa maoni yangu, haijalishi watekaji ni vyombo vya ulinzi na usalama, CCM au CHADEMA, watu wa intelijensia walipaswa kupata taarifa na kuzuia mapema.
Kama wameshindwa kufanya hivyo tafsiri yake ni kwamba wamezidiwa kete na watekaji au wao ndio watekaji.
Kwa vyovyote vile Hamad Masauni ilibidi...
Msiba wa mwanachama wa CHADEMA, Ally Mohamed Kibao, huko mkoani Tanga, uligubikwa kuwa na hali ya sintofahamu baada ya waombolezaji kumkataa Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Masauni, na kumtaka aachie ngazi.
Tafrani hiyo ilisababisha Waziri kusitisha dua yake kwenye shughuli hiyo ya mazishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.