waziri mavunde

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Viwanda Vinne vya Uongezaji Thamani Madini Kujengwa Mkoani Dodoma - Waziri Mavunde

    VIWANDA VINNE VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI KUJENGWA MKOANI DODOMA - WAZIRI MAVUNDE ▪️Akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua Madini ya Shaba* ▪️Dodoma inaongoza kwa uwepo wa aina nyingi za madini nchini* ▪️Atoa rai kwa Mikoa kutenga meneo maalum ya viwanda vya kuongeza thamani 📍...
  2. Waziri Mavunde - Serikali Inafanyia Kazi Maboresho ya Tozo kwa Wachimbaji Wadogo wa Dhahabu

    Serikali kupitia Wizara ya Madini inaendelea na juhudi za kupunguza mzigo wa tozo kwa Wachimbaji Wadogo wa Dhahabu hapa nchini kwa kufanya mapitio ya ada na ushuru mbalimbali unaotozwa katika mnyororo wa uchimbaji na uchenjuaji wa madini hayo. Hatua hiyo imebainishwa na Waziri wa Madini, Mhe...
  3. Waziri Mavunde - Benki Kuu (BoT) Yanunua Tani 2.6 za Dhahabu Inayochimbwa Nchini

    WAZIRI MAVUNDE - BENKI KUU YANUNUA TANI 2.6 ZA DHAHABU INAYOCHIMBWA NCHINI ▪️BoT yanunua dhahabu yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 570 ▪️Asisitiza dhamira ya Tanzania kuwa miongoni mwa mataifa 10 yenye hifadhi kubwa ya dhahabu Afrika Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde...
  4. Waziri Mavunde Asimamisha Uchimbaji Madini kwenye Mto Zila Kijiji cha Ifumbo, Wilayani Chunya - Mbeya

    WAZIRI MAVUNDE ASIMAMISHA UCHIMBAJI MADINI KWENYE MTO ZILA KIJIJI CHA IFUMBO, WILAYANI CHUNYA-MBEYA ▪️Aelekeza shughuli za uchimbaji madini kusimama kipindi hichi cha Masika kama ilivyoelekezwa na NEMC ▪️ Timu ya Wataalam kufanya tathmini kwa kina na kutoa taarifa ya athari ya Mazingira...
  5. Waziri Mavunde Azindua Magari 25 ya Tume ya Madini

    WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MAGARI 25 YA TUME YA MADINI Ikiwa ni mkakati wa kuimarisha usimamizi katika Sekta ya Madini hasa kwenye ukusanyaji wa maduhuli, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amezindua magari mapya 25 kwa ajili ya kusambazwa kwenye Ofisi za Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa sambamba...
  6. Waziri Mavunde - Maonesho ya Madini Geita Kuboresha Kufikia Hadhi ya Kimataifa

    MAONESHO YA MADINI GEITA KUBORESHWA KUFIKIA HADHI YA KIMATAIFA-MAVUNDE - Rais Samia Suluhu Hassan kufunga maonesho -I dadi ya washiriki wa nje ya nchi waongezeka - RC Shigela aeleza mpango wa kujenga majengo ya kudumu na kuboresha miundombinu 📍Bombabili EPZ, Geita Waziri wa Madini Mh...
  7. Usimamizi Thabiti wa Madini Mkakati Utakuza Uchumi wa Afrika - Waziri Mavunde

    - Awapongeza Rais Samia na Museveni kwa msimamo wa uongezaji thamani madini - Azitaka nchi za Afrika kuwa na mkakati wa pamoja wa uvunaji wa rasilimali Madini - Uganda yavutiwa na maendeleo ya sekta ya madini nchini Tanzania 📍Kampala, Uganda Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amezitaka...
  8. Waziri Mavunde: Apiga Marufuku Biashara ya Madini Kufanyika Majumbani Wilayani Tunduru

    “NI MARUFUKU BIASHARA YEYOTE YA MADINI KUFANYIKA MAJUMBANI WILAYANI TUNDURU – WAZIRI MAVUNDE” Apiga marufuku wageni kwenda kununua madini machimboni Aweka jiwe la msingi la ujenzi wa soko la madini Asema wafanyabiashara wa madini Tunduru ni mfano wa kuigwa kwa kujenga Soko la madini kwa...
  9. Waziri Mavunde awataka Watanzania kuchangamkia manunuzi ya bidhaa ya Tsh. Trilioni 3.1 migodini

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amewataka watanzania wanaoshiriki kwenye mnyororo wa thamani wa sekta ya madini kuchangamkia fursa kubwa iliyopo ya manunuzi ya bidhaa na utoaji huduma migodini ambayo kwa mwaka wa fedha 2023/24 jumla ya kiasi cha Tsh Trilioni 3.1 zimetumika katika eneo la...
  10. Waziri Mavunde Awataka Watanzania Kuchangamkia Manunuzi ya Bidhaa ya Trilioni 3.1 Migodini

    WAZIRI MAVUNDE AWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA MANUNUZI YA BIDHAA YA TRILIONI 3.1 MIGODINI -Azindua rasmi Chama cha Watoa Huduma na Wauzaji wa Bidhaa Migodini -Afurahishwa na Watanzania kuzingatia ubora -Awataka kushirikiana na kusaidiana -Rais Samia apongezwa kuvutia uwekezaji Dar es...
  11. Waziri Mavunde: Tanzania ipo tayari kwa uwekezaji utakaoongeza thamani ya Madini ndani ya Nchi

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema Tanzania inakaribisha wawekezaji wote wa madini mkakati na kuweka msisitizo kwamba uongezaji thamani wa madin hayo mkakati lazima ufanyike Tanzania. Mavunde ameyasema hayo leo Bali, Indonesia wakati wa majadiliano juu ya manufaa ya Madini Mkakati katika...
  12. Waziri Mavunde Ageuka Mbogo; Ataka Mradi wa Dhahabu Magambazi Uanze Uzalishaji Mkubwa

    WAZIRI MAVUNDE AGEUKA MBOGO; ATAKA MRADI WA DHAHABU MAGAMBAZI UANZE UZALISHAJI MKUBWA -Awataka wamiliki wa leseni kufuata masharti kwa mujibu wa Sheria*, -Awapa mpaka 1 Septemba 2024 kujibu hoja za matakwa ya kisheria -Mgodi una wastani wa Wakia 700,000 -Wananchi wa Handeni-Tanga waishukuru...
  13. Ziara ya Waziri Mavunde Yaleta Faraja kwa Wachimbaji Wadogo wa Lemishuko, Simanjiro - Manyara

    ZIARA WAZIRI MAVUNDE YALETA FARAJA KWA WACHIMBAJI WADOGO WA LEMISHUKO, SIMANJIRO-MANYARA - Eneo la Lemishuko kurushwa ndege nyuki ya Utafiti - Serikali kutatua changamoto ya Maji,Umeme,Barabara na Zahanati - Aongoza Harambee ya ujenzi wa Zahanati Lemishuku - Jengo la Kituo cha ununuzi wa...
  14. Waziri Mavunde na Mchengerwa kujadili changamoto za Tozo za Halmashauri kwa wachimbaji Madini

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema Wizara ya Madini imekubaliana na Ofisi ya Rais TAMISEMI kukutana na kutatua changamoto ya tozo zinazowekwa na Halmashauri kwa wachimbaji wa madini nchini. Mavunde ameyasema hayo mkoani Morogoro katika kikao chake wachimbaji wa Mkoa wa Morogoro kwa lengo...
  15. Waziri Mavunde na Waziri Mchengerwa Kukutana Kushughulikia Tozo za Halmashauri Kwenye Madini

    WAZIRI MAVUNDE NA WAZIRI MCHENGERWA KUKUTANA KUSHUGHULIKIA TOZO ZA HALMASHAURI KWENYE MADINI -Hii ni Kufuatia Changamoto za tozo za Halmashauri zilizowasilishwa na wachimbaji Morogoro -Waziri Mavunde awapongeza Morogoro kuvuka lengo la makusanyo ya maduhuli -Serikali kuongeza nguvu ya Utafiti...
  16. Waziri Mavunde apiga marufuku wageni kutumia leseni za wachimbaji wadogo

    WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde ameweka wazi makusanyo ya maduhuli kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 ambayo ni Shilingi Bilioni 753 huku akipiga marufuku kwa wageni kuingia kwenye leseni za wachimbaji wadogo. Mavunde pia ametangaza operesheni maalum kwa watumishi wasio waadilifu na kumtaka Katibu...
  17. Waziri Mavunde Aagiza Leseni za Utafiti 45 Mkoani Rukwa Kurejeshwa Serikalini

    WAZIRI MAVUNDE AAGIZA LESENI ZA UTAFITI 45 MKOANI RUKWA KUREJESHWA SERIKALINI -Ni Leseni ambazo hazifanyiwi kazi na kuzuia maelfu ya wachimbaji kuchimba -Eneo lililorejeshwa la ekari 812,383 ni kubwa zaidi ya Wilaya ya Sumbawanga -Wachimbaji wadogo na wawekezaji waliotayari kupewa kipaumbele...
  18. Waziri Mavunde: Umeme Kuongeza Uzalishaji wa Madini Mkoa wa Katavi

    UMEME KUONGEZA UZALISHAJI WA MADINI MKOA WA KATAVI-MAVUNDE Waziri wa Madini Mh . Anthony Mavunde amewaeleza wachimbaji wa mkoa wa Katavi kwamba utekelezaji wa mradi wa kuingiza Katavi kwenye gridi ya Taifa itasaidia upataikanaji wa uhakika wa umeme na hivyo kupelekea kuongezeka kwa uzalishaji...
  19. Waziri Mavunde Azindua Timu ya Kuandaa Andiko la Vision 2030

    ● Prof. AbdulKarim Mruma kuiongoza Timu ●Wapewa Hadidu za Rejea 14 muhimu kujenga uchumi wa nchi kupitia madini ● Tanzania kufanya Utafiti wa eneo la asilimia 50 nchi nzima kufikia 2030 ● Sekta za kilimo, Afya, Maji na Viwanda kunufaika na utafiti Dodoma Waziri wa Madini Mhe. Anthony...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…