Mlezi wa Kikundi cha Marsho Manufacturing Company kinachojishughulisha na shughuli za ujasiriamali kupitia zao la ndizi ambae pia ni Mbunge wa Rombo Prof. Adolf Mkenda, Jumanne ya March 11,2025 amekikabidhi hundi ya Shilingi Milioni 5 ikiwa kama sehemu ya ahadi yake yakukisaidia kikundi hicho...
Salaam Wakuu,
Awali, ikidaiwa kwamba Mwalimu Mkuu (REGIUS MARTIN KAWIMBE Simu Namba *****75299) wa shule ya Msingi Izinga iliyopo kata ya Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi na Mkoa wa Rukwa, na ambaye pia alikuwa MSIMAMIZI MSAIDIZI wa uchaguzi katika kijiji cha...
chadema
kati
kufukuzwa
kufukuzwa shule
kuhusu
mkenda
prof. adolf mkenda
prof. mkenda
sababu za
sakata
shule
uchunguzi
wanafunzi
watoto
waziriwazirimkenda
Moja kwa moja niende kwenye mada tajwa hapo juu.
Mkurugezi kwa kushirikiana na afisa elimu halmashauri ya Kibaha mji wamewasimamisha kazi walimu wapatao watano wa shule moja ya Mwambisi sekondari sekondari iliyopo kata ya Kongowe halmshauri ya mji kibaha kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ni marufuku Mwanafunzi yeyote kufukuzwa kwenye shule za umma, kurudishwa nyumbani kwa sababu mzazi ameshindwa kuchangia mchango wowote ikiwemo huduma za chakula.
Mkenda ametoa agizo hilo Julai 26, 2024 jijini Dodoma wakati...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ujenzi wa Kampasi za Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya katika Mkoa wa Rukwa ni moja ya mradi unaojengwa chini ya Mradi wa Higher Education for Economic Transformation zinazojengwa katika Mikoa isiyo na Taasisi za Elimu ya...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kama Waziri mwenye dhamana ya Elimu nchini hatoingilia mamlaka za Vyuo Vikuu zinapochukua hatua mbalimbalu za kinidhamu katika udanganyifu wa mitihani
Kauli hiyo ameitoa Julai 12, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na...
Tufahamishane kwamba, ni kweli takribani nusu ya wanafunzi wa SUA wameshindwa kuhitimu ktk mahafali ya mwezi Novemba 2023 kama ilivyo kawaida ya miaka yote, na wanatakiwa kurudia mitihani baada ya mwaka mzima wa kusubilia mitihani. Sababu kubwa ni maamuzi mabaya ya viongozi wa chuo. Waliamua...
Nimefuatilia maamuzi ya waziri Mkenda kwa wakuu wa shule na walimu waliohusika kwenye kucheza wimbo wa zuchu Binafsi naona maamuzi ya Waziri Mkenda ni ya kukurupuka na hofu ya kutenguliwa nyadhifa yake. :
1. Maadili ya mtoto yaanzia nyumbani, Hawa watoto huu wimbo wamjifunza makwao kupitia...
UTANGULIZI
Ndugu msomaji wa MAKALA hii Utakubaliana nami kwamba neno "KUJIAJIRI" sio geni masikioni mwako, hususa ni pale linapo kugusa moja Kwa moja. Huenda Kwa nyakati fulani umelisikia neno hili likitamkwa na Watu mbalimbali wakiwemo viongozi pamoja na watu maarufu na kulipokea Kwa mtazamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.