Maelfu ya waandamanaji nchini Bangladesh walielekeza hasira zao kwa aliyekuwa Waziri Mkuu, Sheikh Hasina, aliyepinduliwa na kukimbilia uhamishoni, kwa kuvamia na kuharibu nyumba ya familia yake Jumatano, Februari 5, 2025.
Nyumba hiyo, ambayo awali ilionekana kama ishara ya uhuru wa taifa hilo...