Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi wiki iliyopita alifanya ziara ya siku saba katika nchi nne za Afrika, ambazo ni Namibia, Jamhuri ya Kongo, Chad na Nigeria.
Ziara hiyo inadumisha mwendelezo wa desturi ya mawaziri wa Mambo ya Nje wa China kufanya ziara ya kwanza ya mwaka nje ya nchi...