waziri mkuu uingereza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Baada ya Trump kumdhalilisha Zelensky, Waziri Mkuu wa Uingereza atangaza kuwa UK iko tayari kupeleka wanajeshi wake Ukraine

    Wakuu, Baada ya Trump kuonekana kuanza kuringaringa na kumnyanyasa Ukraine, Uingereza imeamua kuuvaa wenyewe huu ugomvi. Akiwa anaongea hivi karibuni, Starmer amesema kuwa ukiachana na Euro Bilioni 2, Uingereza pia iko tayari kupeleka wanajeshi wake Ukraine kupambana na Urusi na pia iko...
  2. enzo1988

    Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer atangaza kupunguza misaada kutoka Uingereza kwenda nchi nyingine

    Serikali ya Uingereza imetangaza kupunguza bajeti ya misaada ya maendeleo ya kigeni kutoka asilimia 0.5 hadi asilimia 0.3 ya Pato la Taifa (GNI). Waziri Mkuu Sir Keir Starmer aliliambia bunge Jumanne kwamba hatua hiyo inalenga kuongeza matumizi ya sekta ya ulinzi. Starmer alieleza amefanya...
Back
Top Bottom