Wakuu,
Baada ya Trump kuonekana kuanza kuringaringa na kumnyanyasa Ukraine, Uingereza imeamua kuuvaa wenyewe huu ugomvi.
Akiwa anaongea hivi karibuni, Starmer amesema kuwa ukiachana na Euro Bilioni 2, Uingereza pia iko tayari kupeleka wanajeshi wake Ukraine kupambana na Urusi na pia iko...