waziri nape

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    Waziri Nape jiuzulu haraka, unatishia amani ya taifa letu

    Nashangaa inakuwaje Nape kwanini yupo ofsini hadi Leo. Yaani ametoa kauli chafu na kuharibu amani yetu Bado anaona utani? Utani Gani au uhuni amekuwa akirudia hii kauli. Me ni mwana CCM ili siwezi kufurahishwa na ushindi wa wizi na kunajisi democracy. Tushindane Kwa sera na vyama vingine...
  2. Roving Journalist

    Waziri Nape: Msinunue Vocha kwa bei tofauti na iliyoelekezwa na Serikali

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amewataka wananchi kutokubali kununua vocha kwa bei tofauti na iliyoandikwa kwenye vocha hizo ambayo zimeelekezwa na Serikali. Waziri Nape ametoa kauli hiyo tqrehe 18 Julai akiwa katika Kisiwa cha Lyakanyasi...
  3. Roving Journalist

    Waziri Nape: Minara inajengwa kuwaunganisha watu vijijini na Dunia ya kidijitali

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (Mb) amesema lengo la Serikali kutoa ruzuku ya ujenzi wa minara ya mawasiliano vijijini ni kuwaunganisha na kuwasogeza Watanzania na Dunia ya Kidigitali ili wasiachwe nyuma na huduma nyingi, alizosema, zitaendeshwa...
  4. Roving Journalist

    Waziri Nape: Wananchi ipeni thamani miradi ya minara kwa kutumia huduma za mawasiliano

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (Mb) amewataka wananchi wa vijijini waliofikishiwa huduma za mawasiliano kuipa thamani miradi hiyo kwa kuitumia vinginevyo uwekezaji uliofanywa na Serikali kwa kushirikiana na Sekta binafsi hautakuwa na maana. Waziri Nape...
  5. Roving Journalist

    Waziri Nape: Huduma za Mawasiliano ndiyo benki zenu Vijijini

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye, amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andengenye, Wakurugenzi na Wakuu wa Wilaya kuwa wepesi wa kusaidia upatikanaji wa ardhi na kuidhinisha vibali kwa ajili ya ujenzi wa minara kwa wakati ili wananchi waweze...
  6. Roving Journalist

    Nape: Tumewaagiza TCRA wachunguze wale wanaodhalilisha watu waliowakopesha Mtandaoni

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye amesema Serikali imetoa maeleko kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuwafuatilia na kuchunguza Watu wanaotumia taarifa za waliowakopesha Mtandaoni kwa lengo la kudhalilisha wakopaji. Amesema maelekezo hayo pia...
  7. Bams

    Pre GE2025 Upuuzi kuifungia Twitter, kama tunachukia tabia chafu, tuifungie Serikali

    Nchi yetu imejaa watu wanafiki, ama wanaotafuta sifa za kijinga au wanaoishi kwa hadaa. Wanaotamka 1 lakini wanamaanisha 5. Hivi karibuni kumeibuka kelele za kinafiki toka kwa baadhi ya wanafiki kuwa mtandao wa X (zamani Twitter) ufungiwe eti unahamasisha ushoga. Ukiwauliza umehamasisha wapi...
  8. J

    Dkt. Kigwangalla: Naamini Waziri Nape hataufungia mtandao wa Twitter kwa sababu Vijana wengi wamejiajiri humo na ni haki yao

    Dr Kigwangalla anesema anaamini kabisa Waziri Nape hataufungia mtandao wa Twitter au X nchini Tanzania Vijana wengi wamejiajiri twitter na ni haki yao ya kimsingi hivyo Naamini Nape atafanya maamuzi sahihi ya kutofungia twitter, amesisitiza Daktari Bingwa Kigwangalla ukurasani X Mlale Unono 😄😄...
  9. Replica

    Waziri Nape akiri kufuatilia mijadala inayoendelea kuhusu mtandao wa X kufungiwa, asema TCRA itatimiza wajibu kuhakikisha watoto wanakuwa salama

    Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye amesema wanaona mijadala yote inayoendelea (kuhusu maoni ya kama mtandao wa X ufungiwe au laah) na kusema Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), itatimiza wajibu wake wa kuhakikisha Tanzania na hususani kizazi cha Watoto kipo...
  10. Analogia Malenga

    Kauli ya Waziri Nape inaonesha Waziri wa Mawasiliano hataki mawasiliano

    Waziri wa Mawasiliano, Nae Nnauye ametoa kauli ambayo kwangu naona inashida aidha kwake kwenye kuitambua mawasiliano au digitali kwa ujumla. Bajeti ya Wizara ya mawasiliano ya mwaka wa fedha 2024/25 imetaja “Mapinduzi ya Kidijitali” mara kadhaa. Sera na mipango mingi ya wizara inataja Kwenda...
  11. Mkalukungone mwamba

    Waziri Nape; Msiwaachie Watoto wenu walelewe na mitandao

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye amewataka Wazazi kutowaacha Watoto wao kutumia zaidi mitandao ambapo si salama inapelekea kuharibu kizazi hiki. Amezungumza hayo wakati akijibu hoja za Wabunge zilizotolewa katika uchangiaji wa Bajeti ya Wizara hiyo...
  12. Cute Wife

    Waziri Nape aishukuru mchango wa JamiiForums kwa kuendelea kuhabarisha umma

    Waziri Nape ameyasema hayo leo Bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya bajeti ya wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari tarehe 16/5/2024. "Napenda kuvishukuru vyombo vya habari vyote pamoja na jumuiya zao ikemo MOAT, TAMWA, MCT, UTPC, MISA-TAN, TADIO, TMF, TEF, JOWUTA...
  13. Cute Wife

    Pre GE2025 Maigizo Bungeni: Waziri Nape na viongozi wengine wakaribishwa Bungeni na Roboti Eunice

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amekaribiishwa na roboti Eunice wakati akiingia bungeni leo Mei 16, 2024 ambapo uwasilishaji wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025, unafanyika. Roboti hilo lililokuwa katika lango ya kuingia ukumbi wa Bunge na...
Back
Top Bottom