waziri ndumbaro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Waziri Ndumbaro asimamia utatuzi wa mgogoro uliodumu miaka saba Arusha

    Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kufurahishwa na mwitikio mkubwa wa watu wanaojitokeza kupata msaada wa kisheria kwenye Kampeni ya Mama Samia Jijini Arusha, akisema kampeni hiyo si tu ya Watanzania bali ni ya kila mmoja anayeishi nchini kama ambavyo leo Machi 04, 2025...
  2. The Supreme Conqueror

    Hatimaye TLS yamjibu Waziri Ndumbaro juu ya kauli ya "Kukurupuka" vita ni vita Muraaa.

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kimekosoa kauli ya Dk. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria; na kusema chama hicho kiko imara na kitaendelea kuishauri Serikali, Bunge na Mahakama katika masuala anayohusu sheria, kukosoa kwa maslahi ya umma bila woga, hofu wala upendeleo, Aidha...
  3. chiembe

    Pre GE2025 Waziri Ndumbaro: Serikali haipendi kabisa matamko ya kukurupuka ya TLS

    Waziri wa Sheria na Katiba, Mh. Ndumbaro, amewapa za uso Chama cha Wanasheria Tanganyika kwamba kinatoa matamko ya kukurupuka tu. =============== Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameonesha kutofurahishwa na mwenendo wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kutoa matamko ya...
  4. Mindyou

    Nimelia sana baada ya kuona sanamu jipya la Mwalimu Nyerere nchini Cuba. Waziri Ndumbaro naomba ujitafakari!

    Wakuu, Hivi inakuwaje kila mara hawa viongozi wa serikali wakitaka kuchonga sanamu la baba wa taifa huwa wanakosea? Kuna hili sanamu jipya la Mwalimu Nyerere huko nchini Cuba kiukweli imenishangaza sana kuona Waziri Ndumbaro amelipitisha na kuona kuwa linafaa. Soma pia: Sanamu ya Abraham...
  5. Mkalukungone mwamba

    Picha ya siku: Rais Samia akicheza mchezo wa bao na Waziri Ndumbaro

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akicheza mchezo wa bao na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro wakati alipotembelea mabanda ya Maonesho katika uwanja wa Majimaji mjini Songea mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024.
  6. Melubo Letema

    Ndumbaro una maslahi gani na Filbert Bayi?

    Waziri Ndumbaro kwa nini huwapumzishi hawa wazee Filbert Bayi, Ghulam na Henry Tandau? wanaotafuna pesa za watanzania? Bayi anakula pesa za wanariadha , makocha na hata wanahabari ambao walitakiwa wapate scholarships mbalimbali, sasa toka afiki paris ufaransa ambapo alipelekwa na bayi yuko kimya...
  7. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ndumbaro Atangaza Fursa Lukuki Tamasha la Tatu la Utamaduni

    WAZIRI NDUMBARO ATANGAZA FURSA LUKUKI TAMASHA LA TATU LA UTAMADUNI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa, Tamasha la tatu la Utamaduni la Kitaifa Songea litatoa fursa lukuki kwa wakazi wa mkoa wa Ruvuma na mikoa ya jirani katika nyanja za kibiashara...
  8. Mkalukungone mwamba

    Waziri Ndumbaro: Uwanja wa mpira Arusha utakamilika kwa wakati kwa michuano ya AFCON 2027

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro amesisitiza kuwa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha utakamilika kwa wakati kama ilivyopangwa na kuwa tayari kwa michuano ya AFCON 2027. Akizungumza katika ziara ya kukagua maendeleo ya uwanja huo leo Agosti 29, 2024 Dkt...
  9. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ndumbaro Ahimiza Mabadiliko Chuo cha Michezo Malya

    WAZIRI NDUMBARO AHIMIZA MABADILIKO CHUO CHA MICHEZO MALYA Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewataka watuishi wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya wafanye mabadiliko katika utendaji kazi wao ili waendane na kasi ya mabadiliko ya sekta hiyo hapa nchini. Mhe...
  10. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ndumbaro asisitiza Wasanii kurasimisha kazi zao

    Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe Dkt. Damas Ndumbaro amehimiza na kuwasisitiza wasanii kujiraismisha ili kurahisisha mipango ya Serikali ya kuwatafutia fursa mbalimbali kwa kuwa sanaa ni ajira inayoingiza kipato. Mhe. Ndumbaro ameyasema hayo Juni 14, 2024 Jijini Dar Es Salaam wakati...
  11. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ndumbaro Apongeza Ubora wa Jengo la Wizara

    WAZIRI NDUMBARO APONGEZA UBORA WA JENGO LA WIZARA Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amepongeza ubora wa jengo jipya la Wizara hiyo linalojengwa katika Mji wa Serikali, Mtumba na kumtaka mkandarasi akamilishe kazi zilizobaki ifikapo Septemba, 2024. Mhe. Ndumbaro...
  12. The Boss

    Waziri Ndumbaro hafai ,hafai hafai....

    Waziri Ndumbaro hafai popote huku kwenye michezo ndo hafai hafai kabisa analeta migogoro na anazidi kuharibu... Juzi watanzania waliona kilichotokea kwenye boxing....Ugomvi wa kibishara WA mapromota WA ngumu umeleta aibu kubwa sana.....huku waziri akiwa mshiriki Mkuu.... Promota ambae ana...
  13. Heparin

    ACT Wazalendo: Ukanusho wa Msemaji wa Serikali hautoshi, Waziri Ndumbaro awajibishwe

    Chama cha ACT Wazalendo kinaitaka mamlaka ya uteuzi kumwajibisha waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro kwa kauli ya kuweka marufuku kwa mashabiki wa timu pinzani zinazotoka nje ya nchi kuvaa jezi za timu zao zitakapocheza dhidi ya timu za Yanga na Simba katika hatua ya robo...
  14. KakaKiiza

    Waziri Ndumbaro usitume watu kukusafisha, jisafishe mwenyewe!

    Katika Siku za hivi Karibuni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mh Damas Ndumbaro alitoa tamko akiwasii watanzania kuwa na uzalendo kwa timu zao kama tunavyoona nchi za wenzetu zinavyofanya utanguliza uzalendo kwanza! Tofauti na hapa kwetu ambapo tumeshuhudi timu pinzani hasa Simba na...
  15. JanguKamaJangu

    Msemaji wa Serikali: Suala la mashabiki kukaguliwa ‘Passport’, Waziri Ndumbaro alikuwa anatania

    https://www.youtube.com/watch?v=xyOZfGov2YA Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi akizungumza na Wanahabari, leo Machi 24, 2024, mada Miaka Mitatu ya Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan. KUHUSU KAULI YA WAZIRI NDUMBARO Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi...
  16. Stuxnet

    Uwezo wa Waziri Ndumbaro ni Mdogo Sana

    Mwenye CV ya Waziri wa Michezo na sanaa Damas Ndumbaro atuwekee hapa. Uwezo wake ni mdogo sana kiasi siamini kama anayo hata LLB. Sababu zangu ni hizi:- 1. Wakati wa Magufuli akiwa Waziri wa Utalii alisema Chato ni kitovu cha utalii hivyo akaanzisha mbuga ya Burigi -Chato 2. Mwaka jana akiwa...
  17. Heparin

    Waziri Ndumbaro kama kweli wewe ni Mzalendo, kataza Nguo za Rais Samia uwanjani, amuru mabango ya kumtukuza Rais Samia na CCM yasikanyage uwanjani

    Waziri Ndumbaro ni msomi mkubwa wa Sheria, walau kwa kurejea historia ya elimu yake bila kujali uhalisia wa mambo anayofanya. Kwamba Waziri Ndumbaro hajui kuwa FIFA hairuhusu serikali kuingilia masuala ya mpira wa miguu? na tangu lini uzalendo unalazimishwa? Ni kukosa ubunifu wa kuendeleza...
  18. kavulata

    Tumuunge mkono Waziri Ndumbaro kwenye uzalendo wa kuvaa jezi

    Simba na Yanga zimeanzishwa miaka ya 1930's, lakini hazijawahi kushinda mataji makubwa ya Afrika kwenye mpira. Baadhi ya sababu za kushindwa kushinda mataji ni pamoja na kuhujumiana zenyewe kwa zenyewe zinapokutana timu za kigeni. Huu ni utamaduni/utani wa jadi ni mbaya sawa na utamaduni wa...
  19. Greatest Of All Time

    Damas Ndumbaro: Marufuku kuvaa jezi ya Mamelodi au Al Ahly kwa Mkapa kwenye michezo ya Simba na Yanga

    Ukija uwanja wa Taifa ukiwa umevaa jezi ya Mamelodi Sundowns lazima utuoneshe passport ya Afrika Kusini na ukiwa na jezi ya Al Ahly utuoneshe passport ya Misri, nje na hapo Polisi watakuchukua ukapumzike” Damas Ndumbaro, Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo. Yapi maoni yako?
  20. Replica

    Waziri Ndumbaro: Tibaijuka alikosoa mkataba wa bandari, amekamatwa? Asema ukitukana viongozi uhuru wako unaishia hapo

    Akizungumza katika kongamano la huduma ya msaada wa kisheria na upatikanaji haki kwa wananchi linalofanyika mkoani Arusha jana Alhamisi Agosti 17, Dk Ndumbaro amehoji kutokamatwa kwa Prof. Anna Tibaijuka na wengine ambao wamekosoa mkataba wa bandari. Ndumbaro amesema kukatwa kwa Dkt. Slaa na...
Back
Top Bottom