Wakuu
Joto kuelekea Uchaguzi
==
Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi ameiomba serikali kumpa kibali ashirikiane na wananchi kukarabati miundombinu ya barabara katika jimbo la Mlimba ambayo serikali imeshindwa kukarabati.
Kunambi ameyasema hayo wakati akichangia hoja za Kamati ya Kudumu ya Bunge...