Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), ameelekeza kuwa ifikapo tarehe 12 Mei 2025, saa 6 usiku, ujenzi wa minara ya mawasiliano vijijini uwe umekamilika na minara yote 758 iwe imewashwa, ili wananchi waweze kupata huduma za mawasiliano.
Waziri Silaa alitoa...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), leo Machi 14, 2025, ameshiriki zoezi la kupandisha vifaa vya ujenzi wa Mnara wa Mawasiliano katika kijiji cha Idete, Kata ya Chanzuru, wilaya ya Kilosa, Mkoani Morogoro.
Mnara huu ni miongoni mwa minara 758 ya...
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameeleza kwamba sheria ambayo ilitumiwa na serikali kuishurutisha kampuni ya simu ya Vodacom kusajili asilimia 25 ya hisa zake katika Soko la Hisa Dar es Salaam DSE imekuwa na matokeo mabaya.
Slaa ambaye alikuwa...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb) amesema kuwa utekelezaji wa mfumo wa Anwani za Makazi nchini umelenga kurahisisha utoaji na upokeaji wa huduma mbalimbali ili kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
Waziri Silaa ameyasema hayo tarehe 06 Februari...
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa kupitia mfumo wa usafirishaji wa vifurushi, mizigo, na abiria Serikali itaimarisha uchumi wa kidijitali, kukuza baishara mtandao na kuleta ajira nyingi kwa vijana hususan madereva wa pikipiki (bodaboda)...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), amesema kuwa uwepo wa Kituo cha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika eneo la Horohoro, kinachounganisha Tanzania na nchi ya Kenya, kutachochea shughuli za kiuchumi kati ya nchi hizo mbili pamoja na nchi nyingine za...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.), amesema wizara anayoiongoza imefanikiwa kuunganisha Mfumo wa Kidijitali wa Anwani za Makazi (NaPA) na mifumo mingine 13 ya kutolea huduma Serikalini.
Waziri Silaa ameitaja baadhi ya mifumo iliyounganishwa na Mfumo wa...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), ameiagiza Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuandaa mpango kazi utakaowezesha shirika hilo kujiendesha kibiashara.
Waziri Silaa ametoa maagizo hayo leo tarehe 16 Desemba, 2024 wakati akizindua Bodi ya...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa, amesema licha ya kufungua milango ya ushirikiano kwa Wadau wa Sekta ya Habari kuifikia ofisi yake wakati wowote, anawaalika kuwa tayari kusema, kusikia, na kukubaliana na hali halisi.
Waziri Silaa alitoa kauli hiyo leo...
Waziri Silaa akishiriki katika Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025, leo Jumatatu Novemba 18, 2024.
Mkutano huu unafanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam
Endelea kufuatilia taarifa zaidi...
JERRY SILAA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.