waziri simbachawene

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    Simbachawene alikiri 40% ya Watumishi wa Umma ni Wazembe, Wavivu, incompetents, kwanini Serikali iendelee kuwabeba?

    Huku mtaani kuna kundi la watu wengi hawana ajira na wamekuwa wakipambana juu chini kutafuta ajira wakiwemo Vijana. Wakati huohuo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene hivi karibuni alinukuliwa akisema kwa mujibu wa utafiti...
  2. Waufukweni

    Waziri Simbachawene aonya Wakuu wa Taasisi za Umma: Aliyekwambia unafaa nani?, Cheo ulipata kwa chapuo, tukikuchunguza unakuta ndio wezi na wapigaji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, ameonya vikali wakuu wa taasisi za umma dhidi ya upendeleo na mianya ya rushwa katika teuzi zao. Akizungumza leo jijini Dodoma, Simbachawene alieleza kuwa baadhi ya viongozi wanawateua watu kwa...
  3. Waufukweni

    Waziri Simbachawene: Familia nyingi zinakufa kwasababu wenza kukaa mbali, Wakuu wa Taasisi za UMMA kushughulikia vibali vya uhamisho kwa busara

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Boniface Simbachawene akizungumza na Wakuu wa Taasisi za UMMA kushughulikia vibali vya uhamisho ili kuokoa familia nyingi za Watumishi.
  4. Waufukweni

    Waziri Simbachawene amjibu Mbowe kuhusu kauli yake ya TASAF na umaskini nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene amemshukia aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Freeman Mbowe kuhusiana na hoja yake aliyoitoa ya kubeza juhudi ya Serikali ya kutaka kuondoa umaskini wa...
  5. F

    Waziri unajisifia kuhusu ajira za Walimu wakati nafasi zipo 14,000 kati ya 200,000 walioomba, huoni aibu Waziri Simbachawene?

    Waziri Simbachawene unapaswa uone aibu, unatangaza nafasi 14,000 tu za Walimu wakati waombaji wapo Walimu 200,000? Huoni haya, hawa 186,000 wataenda wapi? YAANI MNACHUKUA ASILIMIA 7 TU YA WALIOOMBA? Wengine wataenda wapi? Hii kada mwajiri mkubwa ni Serikali, pamoja na wizara ya afya, hao...
  6. robbyr

    Waziri Simbachawene umedharau kauli ya Spika?

    Chanzo: mtandaoni George Simbachawere ni dharau kwa spika au maamuzi yako? Kuna vijana wamejitolea kwenye shule za serikali zaidi ya miaka 3 hadi 4. Spika aliomba kufanyike utafiti ili wawe kipaumbele lakini kwa kauli yako bungeni ulisema zoezi lina changamoto. Kwangu hapana. Kwani kuna...
  7. Stephano Mgendanyi

    Waziri Simbachawene aweka Jiwe la Msingi wa Ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jimbo la Musoma Vijijini

    Leo, Jumanne, 1.10.2024, Mhe George Simbachawene, Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, ameweka Jiwe la Msingi wa ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Musoma DC) - Jimbo la Musoma Vijijini Hospital hii imeishaanza kutoa Huduma za Afya...
  8. Determinantor

    Waziri Simbachawene ana hoja ila simuamini

    Kuna clip nimekutana nayo kwenye social media ikimuonyesha Waziri Simbachawene akieleza "Mkakati" wa Serikali kuja na "USAWAZISHO" ili wafanyakazi waweze kuishi na wenza wao. Hoja zake ni chache ila ni nzito Sana kama ifuatavyo: - Moja, kutenganisha familia kwa kigezo cha Ajira ni kinyume na...
  9. M

    KERO Waziri Simbachawene ingilia kati mfumo wa ESS unakwamisha maisha ya Watumishi

    Kwa ujumla huu mfumo ni mzuri sana. Maana umeondoa ukiritimba wa maafisa utumishi kwa watumishi. Tatitizo kubwa ni kuwa sasa hivi watumishi wa umma wanatakiwa kutumia mfumo wa Ess kwa kufanya kila jambo linalowahusu. Kuanzia uhamisho, likizo, na hata appraisal. Lakini mpaka sasa huduma nyingi...
  10. Stephano Mgendanyi

    Waziri Simbachawene aitaka TAKUKURU kuwadhibiti wachezeaji rasilimali za nchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU kudhibiti mianya ya rushwa katika fedha za miradi ya maendeleo inayoendelea kutekelezwa na serikali nchini ili kuhakikisha thamani...
  11. Mama Edina

    Waziri Simbachawene

    Ningependa ufahamu magumu wanayopitia watumishi walioko chini ya OR-Tamisemi hususani kada za 1. Elimu 2. Afya 3. Watendaji wa Serikali za mitaa Hawa wanapitia mateso makubwa hususani wale wa chini kwa Wakuu wa idara wao kugeuka Miungu Watu hususani Waalimu stahiki yao nimegeuzwa mitaji ya...
  12. JanguKamaJangu

    Waziri Simbachawene asisitiza matumizi ya Serikali Mtandao kwa Taasisi za Umma ili kuepusha malalamiko ya Wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene amesisitiza matumizi ya Serikali Mtandao katika kudhibiti vitendo vya uvunjifu wa Maadili katika Utumishi wa Umma ambavyo vinaleta malalamiko Serikalini. Mhe. Simbachawene amesema hayo leo...
  13. JanguKamaJangu

    Waziri Simbachawene: Saini feki za Katibu Mkuu UTUMISHI na TAMISEMI zinatumika kuhamisha watumishi vituo

    Serikali imebaini baadhi ya watumishi wa umma wanatumia njia za udanganyifu na nyaraka za kughushi mtandaoni, ili kufanikisha uhamisho wa vituo vya kazi pasipo kuridhiwa na mamlaka husika. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema...
  14. JanguKamaJangu

    Waziri Simbachawene ashtuka, aagiza uchunguzi fedha za TASAF

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene (wapili kushoto) akielekea kukagua moja ya jengo kati ya majengo matatu ya upasuaji, afya ya uzazi na mahabara yanayojengwa na Tasaf katika Kituo cha Afya Budushi wilayani Kwimba. Picha na Saada...
  15. HIMARS

    Waziri Simbachawene: Tunapozungumzia kinga kwa Usalama wa Taifa, tunazungumzia kinga dhidi ya Ugaidi

    Waziri George Simbachawene akitoa ufafanuzi kuhusu kinga kwa maafisa wa Idara ya Usalama wa Taifa kama ilivyoelezwa kwenye Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Idara ya Usalama wa Taifa wa Mwaka 2023. Tayari Bunge limepitisha muswada huo na sasa utapelekwa kwa Rais kwa ajili ya...
  16. BARD AI

    Mtoto wa Waziri Simbachawene kuburuzwa mahakamani

    Siku moja baada ya kusambaa video inayomuonyesha mtoto wa Waziri wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene akitoa lugha chafu mbele ya askari wa usalama barabarani, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema sheria itafuata...
  17. beth

    Waziri Simbachawene: Matumizi ya dawa za kulevya yamekuwa 'fashion'

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera na Uratibu, George Simbachawene amesema kwa sasa, si ajabu kukuta pengine matumizi ya Dawa hizo yanafanywa hata na watu wenye nafasi kubwa, akieleza "Hali hii iliendelea tutakuwa na Taifa gani kesho?" Akiwa Bungeni, Simbachawene amesema ameamua...
  18. R

    Tuwasaidie Waziri Simbachawene na polisi kutafuta haki

    Kuna wengine zaidi ya Askofu na Zitto ambao wamefunguka na pengine wataendelea kufunguka kuhusu madhila yaliyowakumba. Kwa spirit ya uzalendo, nimeona nitoe mchango wangu kwa vyombo husika kutafuta haki wa ku compile sauti hizo kuwarahisishia kazi ngumu waliyonayo japo kidogo.
  19. Halaiser

    Kwako Waziri wa Mambo ya Ndani

    Nianze Kwa kusema au kuuliza kuwa hivi huyu Waziri husika yupo kweli na kama yuko kasusia awamu hii ya sita au?? Kwenye awamu ya tano alisikika Sana akikemea mwenendo mbovu wa Jeshi la Polisi hasa kitengo cha Usalama Barabarani. Sasa hivi kimya. Kero yangu kubwa ni hili suala la sticker baada...
  20. R

    Waziri Simbachawene jiuzulu, una-underperfom. Ajali zitamaliza Watanzania

    Habari za asubuhi wana JamiiForums Kwa maslahi ya taifa naona tujadili hili swala. Naona halizungumzwi mahali popote ukiachilia matatizo mengi tuliyonayo kama taifa kwa sasa. Kumezuka tatizo la ajali za kila mahala takribani ajali 4-5 kwa siku zinaripotiwa kwenye mitandao ya kijamii...
Back
Top Bottom