Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, amewahamasisha wananchi wa Kijiji cha Idete, Kata ya Chanzuru, mkoani Morogoro, kuchangia nguvu kazi katika ujenzi wa mnara wa mawasiliano ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za mawasiliano, hasa vijijini.
Pia soma Pre GE2025 Miradi...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb.) amesema kuwa serikali tayari imeanza mchakato wa kutunga sera ya kampuni changa (startups) na imeanza kushirikisha wadau ili kutoa maoni yao kuhusu mahitaji ya startups na mambo wanayotaka kuona yakikamilika.
Waziri Silaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.