Niaje waungwana
Mheshimiwa waziri Abdallah Ulega juzi kati alituacha na mshangao mkubwa watanzania, kwa kujifanya anawapiga mkwara mzito wachina wanaojenga barabara zetu za mabasi ya BRT.
Kwa mtu ambae ndio kwanza anafuatilia mambo hayo ya ujenzi wa barabara za BRT, anaweza kumuona waziri...
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ameonesha kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Ubungo Daraja la Kijazi (Sam Nujoma) - Mwenge - Maktaba ya Taifa (Posta) yenye urefu wa kilometa...
Simkubali kutokana na Uchawa wake na Kofia aliyoivaa ikiwa na Herufi Kero fulani fulani Kwangu ila nimemsikiliza Kiingereza alichokiongea na niseme tu amejitahidi na kaeleweka. Halafu huwa nawashangaa sana Watanzania tunaacha Kujivunia lugha yetu adhimu na pendwa Afrika na Duniani kwa sasa ya...
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali zungumza na Waandishi wa habari na waombe tu wasirushe zilr clips za Waziri wetu akizungumza kiingereza...
Ikiwa sasa ni Mwaka wapili tunaenda tangu Tangazo la Tenda kutolewa juu ya utekelezaji mradi wa Barabara za Nyakasangwe Kata ya Wazo, kuanzia Bwawani, Umoja Road mpaka Mahakama ya Nakasangwe kwa kiwango cha Lami imekuwa kimya ikiwa nikukosa kwa barabra madhubuti hasa eneo la BWAWANI hasi kipindi...
ACT Wazalendo tunapinga vikali kauli iliyotolewa jana Februari 14, 2025 na Waziri wa Ujenzi, Ndg. Abdallah Ulega, akipendekeza kuwekwa utaratibu wa kulipia matumizi ya barabara ya mwendokasi kwa wale wanaotaka kuepuka foleni. Kauli hii haipaswi kupuuzwa ni ushahidi mwingine wa jinsi serikali...
Nichukue fursa hii kwako Waziri Ulega kwa kulichukulia hili jambo kwa uharaka na hatimaye eneo moja Kigamboni limekamilika baada ya ziara yako. Ntakuwa mtovu wa fadhila bila kukushukuru kwa kusikia kilio changu.
Soma, Pia:
Waziri Ulega Atoa Maagizo kwa Mkandarasi Kuharakisha Ujenzi Barabara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.