waziri ummy mwalimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. masopakyindi

    Tetesi: Sakata la Ulaji NHIF limemwondoa Ummy?

    Tetesi mitaani ni kwamba Ummy alishindwa kabisa ku manage fungu la fedha ndani ya NHIF. Agha Khan walimvimbia na kuikataa NHIF kwa vile hawalipii huduma inayotolewa kwa wateja/wagonjwa walio dhaminiwa na NHIF. Sakata nyuma ya skandali nzima ni kwamba waziri alilishwa asali na NHIF wakati...
  2. B

    Waziri wa Afya akutana na kufanya mazungumzo na Kido balozi wa kampeni ya Holela-Holela itakukosti

    Dodoma Jumamosi 15 Juni 2024 Waziri wa Afya Ummy Mwalimu leo amekutana na kufanyia mazungumzo na KIDO ambaye ni balozi wa kampeni ya Holela-Holela itakukosti. Kampeni ya Holela-Holela itakukosti inasisitiza mbinu kamilifu ya " Afya Moja" kushughulikia tatizo la UVIDA na magonjwa ya zuonotiki na...
  3. JanguKamaJangu

    Waziri Ummy Mwalimu: Fanyeni mazoezi ya mara kwa mara ili kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa rai kwa wananchi kufanya mazoezi ya mara kwa mara ili kuifanya miili yao kuwa imara na kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza. Waziri Ummy alitoa wito huo Januari 13, 2024 alipokuwa katika moja ya maduka ya vifaa vya michezo la ‘Just fit’ lililopo Jijini...
  4. Analogia Malenga

    Miradi miwili ya ajabu kwenye Wizara ya Afya

    Nimeangalia zaidi kwenye bajeti ya afya kuna miradi miwili zaidi ya hospitali ambayo inaonesha walakini kwenye utekelezaji wake. Mradi wa uimarishaji wa Hospitali ya Rufaa ya Rukwa umepokea hela 99% ya walizoomba lakini mradi huo umefikia 65%. Kuna tofauti kubwa ya kilichotolewa na...
Back
Top Bottom