Tetesi mitaani ni kwamba Ummy alishindwa kabisa ku manage fungu la fedha ndani ya NHIF.
Agha Khan walimvimbia na kuikataa NHIF kwa vile hawalipii huduma inayotolewa kwa wateja/wagonjwa walio dhaminiwa na NHIF.
Sakata nyuma ya skandali nzima ni kwamba waziri alilishwa asali na NHIF wakati...