waziri wa ardhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Pre GE2025 Naibu Waziri wa Ardhi, Geophrey Pinda azindua kambi ya wiki mbili ya matibabu bure ya macho na matatizo ya mkojo

    Mbunge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amezindua kambi ya wiki mbili ya matibabu bure ya macho na matatizo ya mkojo kwa wananchi wa Jimbo hilo lililopo Mkoani Katavi. Hafla ya Uzinduzi huo imefanyika tarehe 11 Machi 2025 katika hospitali...
  2. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Naibu Waziri wa ardhi, Geoffrey Pinda: Watumishi wa ardhi msiyumbishwe na misimamo ya kisiasa

    Naibu Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, Geoffrey Pinda, amewataka watumishi wa ardhi nchini kuacha kuyumbishwa na misimamo ya kisiasa, badala yake wanapaswa kutekeleza majukumu yao kwa weledi kwa kusimamia sheria na kutoa maamuzi sahihi kuhusu migogoro ya ardhi. Pia amesisitiza...
  3. Wizara ya Ardhi

    Waziri Ndejembi aagiza kuundwa kamati kumaliza mgogoro wa ardhi Mwanza

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Mandeleo ya Makazi, Mhanidis Anthony Sanga kuunda kamati mara moja kwa ajili ya kushughulikia mgogoro wa ardhi wa kiwanja namba 01, Kitalu R kilichopo barabara ya Nyerere...
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    DOKEZO Hii sio haki, Haiwezekeni eneo langu ligundulike kuwa na madini halafu serikali inipangie bei ya kuuza eneo langu na inakuwa ni Amri sio ombi

    Nchi hii imebarikiwa sana na huu ndo ukweli halisi, Si mbunga za wanyama, ardhi zenye rutuba, mito, mistu maziwa, Bahari na madini vyote hivi vinapatikana Tanzania achilia mbali ambavyo sijataja kama ges na makaa ya mawe na vingine vingi. Wakuu kuna vitu serikali inawafanyia wananchi wake...
  5. K

    DOKEZO Serikali itazameni Ofisi ya Msajili wa Hati ya Dar es Salaam

    Serikali inapambana sana kusaidia wananchi wapate HATI zao kwa wakati. Wizara ya Ardhi imekuwa mstari wa mbele sana kuhakikisha kilio cha HATI kinaisha, na tumekuwa mashahidi kwa sasa serikali imeongeza kasi kubwa sana kuhakikisha watu wanapata hati zao. Awamu hii ya sita imekuwa mstari wa mbele...
  6. Pdidy

    Waziri, huyu Afisa nilitarajia yuko ndani kwa sasa kwa kugawa kiwanja kimoja watu wawili. Upigaji unaanzia Wizarani

    Niliwahi laani sana hawa mapapa wanaopiga viwanja vya watu Mbaya zaidi ukifwatilia utakuta wizaran kuna wahuni kadhaa wameshiriki kugawa mara ya pili kiwanja kimoja Leo EATV waziri kafikishiwa malalamiko ya kadhaa akaita maafisa wa ardhi Akakuta mmoja ameshiriki 💯 kugawa mara ya pili kiwanja...
  7. Wizara ya Ardhi

    Waziri Ndejembi Ataka Watendaji Ardhi Kuondoa Urasimu na Kutoa Hati kwa Wakati

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Deogratius Ndejembi amewataka Menejimenti na watumishi wa Wizara ya Ardhi kuondoa urasimu na kutoa hati milki za ardhi kwa wakati. “Tuondoe urasimu, kama mtu ana nyaraka zote zinazohitajika, tuwape hati zao na tukumbuke sisi ni watoa huduma kwa...
  8. M

    Waziri Jerry Silaa utatuma tume ngapi?

    Waziri wa ardhi nimekusikia ukizungumza na wanachi wa Chamakweza. Umeahidi kuwa utatuma tume yako.Naona kama ni kupoteza pesa za walipa kodi kwani shida hiyo ni Tanzania nzima. Migogoro ya wakulima na wafugaji ni tatizo ambalo limeanzishwa na serikali kuruhusu kuwa nchi ya wachungaji badala ya...
  9. E

    Waziri wa ardhi, tulilipia viwanja mwaka 2023 manispaa ya Kigamboni mpaka sasa bado hatujapewa hata kuviona. Je, hii ni sawa?

    Kwako WAZIRI wa ARDHI, ndugu Jerry Slaa Mwaka Jana 2023, miezi ya kukaribia mwisho wa mwaka yalitoka matangazo katika wilaya ya Kigamboni, kuhusu mradi wa viwanja maeneo ya Pemba mnazi. Masikini mimi nilibahatika kupata fomu ya kiwanja kidogo, kulingana na kipato changu. Kwa bahati nzuri...
  10. Roving Journalist

    Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa aingilia kati mgogoro wa ardhi wa Wananchi na Kampuni ya Tanzania Road Haulage

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro wa ardhi wa muda mrefu kati ya Wananchi wapatao 246 na muwekezaji wa Kampuni ya Tanzania Road Haulage katika eneo la Kurasini wilayani Temeke jijini Dar Es Salaam ambapo wananchi hao wanadai kutolipwa malipo...
  11. Roving Journalist

    Waziri wa Ardhi azuia mchakato wa kutaka kubomoa nyumba zaidi ya 100 zilizopo Mapinga

    Baada ya Mdau kuelezea kuhusu mchakato wa kubomoa nyumba zaidi ya 100 zilizopo Mapinga Wilayani Bagamoyo Mkoani Pwani, Serikali imechukua hatua ya kusitisha mchakato huo, malalamiko ya awali soma hapa ~ Nyumba zaidi ya 400 za Mapinga (Bagamoyo) kuwekewa X ili zivunjwe kuna harufu yenye shaka...
  12. utukufu mwanjisi

    Waziri Jerry Silaa sikia kilio cha huyu mama

    Shikamoo Mheshimiwa Shikamoo Kaka Shikamoo Kiongozi Shikamoo Kiongozi Mtenda Haki DHUMUNI la kukuandikia waraka huu, kwasababu wewe ni mmoja ya viongozi ambae amekuwa anawatendea sana haki watu wanaodhurumiwa au kutaka kudhurumiwa mali zao(ardhi), maana dhuruma za ardhi nyingi zinatokana na...
  13. Roving Journalist

    Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa apiga marufuku uuzaji wa viwanja mitaani

    Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa amepiga marufuku nchi zima mabango yaliyozagaa mitaani ya kuuza viwanja maarufu viwanja vinauzwa na ametoa siku 7 kwa maafisa ardhi nchi nzima kuhakikisha mabango hayo yanaondolewa na ameagizo pia makampuni yote yanayouza viwanja...
  14. Roving Journalist

    Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa aagiza wanaotuhumiwa kusababisha migogoro ya ardhi Mbondole (Ilala) wakamatwe

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameagiza kukamatwa kwa Watu kadha ambao wanatuhumiwa na Wananchi kwa kusababisha migogoro ya ardhi na kuuza maeneo kinyume na taratibu kwa wakazi wa Mbondole, Kata ya Msongola Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Waziri Silaa ametoa...
  15. Roving Journalist

    Waziri wa Ardhi aifunga Ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameifunga ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma na kuamuru Watumishi wa Idara hiyo kuhamia kwenye Ofisi za Kamishna wa Ardhi Mkoa. Hatua hiyo inafuatia kukithiri kwa migogoro ya ardhi katika jiji hilo linalotajwa...
  16. S

    Waziri wa Ardhi, mwondoe huyu m/kiti wa baraza la Ardhi wilaya ya Mbulu-Manyara

    Baraza la Ardhi na nyumba wilaya ya Mbulu liko eneo la Dongobesh. Huyu bwana ni mla rushwa, mbaguzi, katili asiye na utu. Anashirikiana na wenye hela ktk eneo husika kuwadhulumu wanyonge. Ameshawanyanganya watu na kuvunja nyumba nyingi kwa ajili ya rushwa. Anakula na ofisi ya msajili kanda...
  17. chiembe

    Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

    Source: Youtube-wakiliTv, taarifa ya Wakili Dickson Matata Nilisema kwamba haya mambo ya kujifanya mwendesha mashitaka na hakimu anayofanya Jerry Silaa yasipoangaliwa, ataitia nchi hasara kubwa sana. Sasa watanzania wataingia hasara ya bilioni 20 ili kumlipa Johnson Mahululu baada ya Jerry...
  18. K

    Ushauri kwa Waziri wa Ardhi na Makazi: Sikiliza pande zote mbili za mgogoro kabla ya kutoa maamuzi

    Tunakupongeza sana kwa juhudi zako katika kutatua migogoro ya ardhi katika nchi hii lakini ninakushauri uende pole pole na usikilize pande zote mbili yaani mlalamikaji na mlalamikiwa. Juzi ulikuwa hapa Mwanza na uliamuru nyumba ya Wakili msomi kuvunjwa. Wakati nyumba inavunjwa Wakili...
  19. Rweye

    Pwani: Watu wametakiwa kulipia square meter moja kwa sh6,000/= Ili kufidia kile eti kinachoitwa fidia kwa aliyekuwa muwekezaji miaka 30 iliyopita

    Ni wananchi wanaopatikana ndani ya mkoa wa Pwani, Kibaha mji katika mtaa wa Viziwa ziwa. Hari si shwari hasirani, unyanyasaji huu na tamaa za viongozi huko chini inawahangamiza wananchi wa Tanzania na raia pasipo kuwepo na mhamiaji. Ni kaeneo kadogo kakiitwa "VIMISA". Hapa ndo panapoongelewa...
  20. ChoiceVariable

    Jerry Silaa atoa siku 100 kwa waliovamia maeneo ya wazi kuondoka Mara Moja

    Ngoja tuone maana umekuja na matamko mengi sana. - Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa, amewataka waliovamia maeneo ya wazi kuanza kuondoka mara moja huku akiwaelekeza viongozi na watendaji wa wizara hiyo, wenye mamlaka ya kusimamia sheria kuhakikisha ndani ya siku...
Back
Top Bottom