waziri wa kilimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. blogger

    Video: Watanzania huwa mna tabia ya kusahau, Prof. Mkenda akiwa Waziri wa Kilimo aliongea ukweli mchungu sakata la Sukari. Wakamuweka pembeni

    Huwa akijilipua hana breki. Hili la juzi ni kawaida yake.
  2. clinton gidioni

    Kwako waziri wa kilimo, Hussein Bashe naomba msaada wako

    Kiukweli, unatupambania sana vijana na hakika unatutakia mema. Kijana yeyote anayejitahidi kupambana lazima ataona juhudi zako. Mheshimiwa, nimejitahidi kadri ya uwezo wangu, lakini nimeshindwa kufanikisha mambo kupitia fani na taaluma nilizonazo. Kwa sasa, nimeamua kuanza upya maisha yangu na...
  3. Torra Siabba

    DOKEZO Mbolea Feki tunayopewa Wakulima Tabora ni chanzo cha kifo cha zao la Tumbaku, Waziri wa Kilimo fanya jambo

    Hivi Waziri wa Kilimo yupo kweli? Maana sisi wakulima wa Tumbaku hapa Tabora tunapitia changamoto na taabu kubwa sana ambazo kama zisipofanyiwa kazi sisi tutaacha kulima zao hilo na Taifa litapata hasara kubwa ya kukosa fedha za kigeni kutokana zao la Tumbaku kuanguka. Iko hivi, sisi wakulima...
  4. figganigga

    Luhaga Mpina (Mb) ataka Waziri wa Fedha na Waziri wa Kilimo wasimamishwe kazi

    Salaam Wakuu, Hapa chini ni maelezo kwa Ufupi ya Mbunge Luhaga Mpina aliyo yatoa kwenye mahojiano na Waandishi wa habari wiki hii Jijini Dar Es Salaam alipokuwa akitoka Mahakamani. Pia alitoa maagizo kwa mawakili wake waiombe Mahakama Kuu ya Tanzania itoe maelekezo kwa Waziri wa Kilimo Mh...
  5. S

    Mawakili wa Mpina walivyoijibu Serikali kesi aliyomfungulia Spika, Waziri wa Kilimo

    Mawakili wa Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina wamejibu hoja za pingamizi la Serikali katika kesi ya Kikatiba aliyoifungua dhidi ya Spika wa Bunge la Tanzania na wenzake wawili, kuwa pingamizi hilo halina mashiko na wakaiomba Mahakama ilitupilie mbali. Katika kesi hiyo ya Kikatiba, Mpina...
  6. JanguKamaJangu

    Mpina afungua kesi dhidi ya Spika wa Bunge, Waziri wa Fedha, Waziri wa Kilimo, Kamishna wa TRA, AG na Makampuni ya kuagiza Sukari

    Mpina awafungulia kesi Spika wa Bunge, Waziri wa Fedha, Waziri wa Kilimo, Kamishna wa TRA, AG na Makampuni yaliyopewa tenda ya kuagiza Sukari Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina amefungua kesi mbili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, ambapo kesi ya kwanza ni dhidi ya Spika ambapo anahoji juu...
  7. B

    KERO NRFA lipeni wakulima wa mahindi kwa wakati mwaka 2024/2025. Haya ni mateso na uonevu

    Habari, imekuwa tatizo, kero, usumbufu kwa wakulima wa mahindi nchini linapokuja suala la kuuza mahindi kwa wakala wa chakula NRFA kulipa fedha kwa wakati. Waziri wa kilimo katika ziara ya Mh. Rais Samia kule Sumbawanga aliahidi kuwa kupitia wakala wa chakula NRFA watanunua mahindi kwa bei ya...
  8. S

    Bashe hadi sasa bado ni Waziri wa Kilimo? maajabu ya dunia

    Tumemsikia Mpina kashfa ya kuagiza sukari kutoka nje, tumewasikia wakulima wa miwa wakimlalamikia Bashe kwa kuua kilimo chao cha miwa, tumewasikiliza wenye viwanda wakimlalamikia bashe kwa kutunga sheria ya kuua viwanda vyao, tumemsikia Mheshimiwa Rais akilalamikia suala la uagizaji sukari nje...
  9. Fall Army Worm

    Utaratibu wa kuiuzia mahindi Serikali kupitia NFRA ni mgumu sana

    Wakuu habari za siku nyingi? Bila kupoteza muda ni kwamba tunaishukuru Serikali yetu kwa kutusaidia kupata soko la mahindi lakini tunalia na NFRA.Siku ya jumanne iliyopita,tarehe 24/07/2024; Nilipeleka mahindi yangu NFRA kituo cha Kakozi,mkoa wa Songwe. Nikaelekezwa kuwa niyachekeche...
  10. FaizaFoxy

    Waziri wa Kilimo, zao la bangi ni muhimu sana kwa maendeleo ya haraka

    Mheshimiwa Hussein Bashe, natumai na Rais wetu mama Samia Suluhu Hasan na washauri wake wengine utawafikia ujumbe huu. Zao la bangi za aina tofauti tofauti (different varieties of hemp) linastawi vizuri sana Tanzania. Ni wakati muafaka, tena tumechelewa sana, kuanzisha zao la bangi kwa faida...
  11. K

    Wasiomuelewa Hussein Bashe kwenye sukari waelewe swali la Dkt.Tulia

    Kitu kitakachokumbukwa sana kwenye bunge la bajeti mwaka huu 2024 utakuwa mjadala wa sukari kati ya Mpina na Bashe. Dkt. Tulia ameuliza swali la msingi sana kuhusu muda ambao viwanda vyetu vinahitaji ili viweze kuzalisha sukari kwa utoshelevu na hatimaye bei iwe sawa na nchi zilizotuzunguka...
  12. Tlaatlaah

    Mchapakazi kijana Waziri Hussein Bashe, historia ya ushupavu Tanzania itamkumbuka

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ataandikwa kwenye kumbukumbu za historia za viongozi shupavu wa nchi hii kwa namna alivyothubutu kuchochea mageuzi na mabadiliko katika kilimo kwa bajeti ndogo tu. Kipindi hiki cha mavuno ya mazao mbalimbali nchini, kinadhihirisha uthubutu, nia na dhamira yake...
  13. K

    Napendekeza Waziri Bashe akae pembeni kwanza ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Madudu yaliyoibuliwa na Mpina yanatisha na kutukatisha tamaa na kutowaamini viongozi wetu tuliowachagua ili watatue kero zetu. Tunamtaka kwanza Bashe akae pembeni ili kupisha uchunguzi. Kuendelea kukaa kwenye ile ofisi mimi nitamshangaa sana Mteule wake. PIA SOMA - FULL TEXT: Maelezo ya...
  14. A

    Bashe yupo ukingoni, hakupaswa kupambana na wadau wa sukari

    Bashe ambaye ni Mbunge wa Nzega mjini na Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Rais Samia dalili zi wazi anaelekea kukwama. Kwa wajuzi wa mambo ya siasa watakubaliana na mimi kwenye hilo. Waziri Bashe hakupaswa kupambana na wadau wa sukari kwa aina ile ya kiburi na majivuno! Kwa kuanzia alipaswa...
  15. REJESHO HURU

    Waziri wa Kilimo haya mambo yameanza lini

    Nimeweka risiti hapa uone kibaya zaidi jambo hili linatokea Nzega hapa ndio wakulima humkumbuka Magufuli yani gunia moja linatozwa ushuru kweli yani mkulima alime mazao yake ya kula yeye na famila yake anaenda kuvuna wanasubilia njiani atozwe ushuru.
  16. BARD AI

    Kwa kuwa Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Tanzania, leo kama ukiwa Waziri wa Kilimo utafanya mambo gani mapya?

    Sekta ya Kilimo imekuwa ikitajwa kuwa moja kati ya maeneo muhimu zaidi katika Uchumi wa nchi. Lakini kwa miaka mingi bado eneo kubwa la Ardhi ya Tanzania halijatumika. Chukulia umeteuliwa kuongoza Wizara hiyo kuanzia leo, unafikiri ni mambo gani mapya utafanya tofauti na ilivyo sasa? Pia...
  17. K

    Maombi kwa Waziri wa Kilimo, mpunga uliozalishwa na wakulima kwa bei rafiki

    Kutokana na mavuno makubwa ya mpunga msimu huu tunaiomba Serikali inunue mpunga uliozalishwa na wakulima kwa bei rafiki. Kuna wafanyabiashara toka Kenya na Uganda tayari wameingia katika Mikoa ya Mwanza, Geita, Mara wakinunua mchele kwa bei ya kutupa kutokana na umaskini wa wakulima wetu. Zao...
  18. mirindimo

    Picha: Kijana wa BBT akiwa amempigia Magoti Waziri wa Kilimo

  19. nyamchele

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

    Dar es Salaam. Saa chache baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, amefunguka akisema waagizaji hawakupaswa kuleta mchele huo kutoka nje, kwa kuwa Tanzania ina hazina...
  20. Erythrocyte

    Kwanini Biashara ya Sukari inasimamiwa na Waziri wa Kilimo?

    Hivi Nchini Tanzania hakuna Wizara ya Viwanda na Biashara , ambayo ndio Mhusika halisi wa Biashara na Viwanda? Naandika haya kwa Uzoefu, mimi ni Mfanyabiashara na namiliki Kiwanda (siyo cha sukari). Sijawahi kuelekezwa kusaini nyaraka yoyote kwenye Wizara ya kilimo angalau mara chache...
Back
Top Bottom