waziri wa kilimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Waziri Bashe, wauzaji wengi wa pembejeo za kilimo hawana utaalamu wa kilimo na mifugo

    Mh Bashe , wewe ni miongoni mwa mawaziri mnaochapakazi na zinaonekana, hongera sana. Ombi langu kwako nalielekeza kwenye maduka ya pembejeo za kilimo na mifugo...kwakweli kumejaa makanjanja wengi sana. Wauzaji wao wengi hawana utaalamu wa kilimo au mifugo. Na wale walio na wataalamu basi ni...
  2. J

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la ufadhili wa maendeleo ya Kilimo

    Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa la ufadhili wa maendeleo ya Kilimo duniani (IFAD) Bi. Jacqueline Machangu-Motcho ofisini kwake jijini Dodoma. Mazungumzo hayo yalikuwa ni kuimarisha ushirikiano baina ya shirika...
  3. Waziri wa Kilimo, anza na Bei ya Mbolea

    Refer to the heading above Waziri wa kilimo ndugu Husein Bashe, wakulima tunalia na bei ya mbolea. UREA mwaka jana bei ilikuwa Tsh 50,000/- kwa kilo 50 sasa ni 110,000/- DAP ni 120,000/- Kuna uwezekano mkubwa kushuka kwa uzalishaji wa mazao hasa huku nyanda za juu kusini maana ardhi hii bila...
  4. Prof. Adolf Mkenda baada ya kukemewa ameenda wapi?

    Waziri machachari wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda mara baada ya kukemewa na Rais Samia Suluhu kwa kitendo chake cha kukataa kutoa kibali cha kuagiza sukari nje ya nchi kuwa ni nonsense haonekani tena je ameenda wapi? Sasa hivi kila kona anayeonekana ni Naibu Waziri Hussein Bashe tu.
  5. Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

    Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani. Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili. Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora. Na hii naanza...
  6. Waziri wa Kilimo Profesa Mkenda, unataka Rais Samia akubebeje?

    Binafsi napata wasiwasi na huyu Waziri ambae elimu yake ni Professor, namuuliza kweli ameshindwa ku handle tatizo la bei ya mbolea nchini? Na msaidizi wake Bashe ambaye kimsingi ni mkulima inamana Bashe na wewe kwenye mashamba yako unanunua DAP, KAN, UREA 110,000 kwa mahekari yote hayo...
  7. Barua ya wazi wa Waziri wa Kilimo: Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, NA, CAN, SA, PA, CAN, MAPS na DAP)

    Kwako Mheshimiwa waziri wa kilimo, Natumai ni mzima wa afya njema. Mheshimiwa waziri wa Kilimo, Rejea kichwa cha barua hii ya wazi kama kilivyo jieleza. Naomba kurejea tena. Matumizi ya gesi asilia kuzalishia mbolea za kilimo (UREA, Ammonium Nitrate (NA), Ammonium Sulphate (SA), Ammonium...
  8. Wito RC Kilimanjaro, Waziri wa Kilimo na Waziri wa Mifugo, Kufuatia Umuhimu wa Chakula, Baada ya Mungu na Pumzi ya Uhai, P'se Mpitisheni Uwanja Pasua

    Wanabodi, Japo JF ni an open public forum kwa wote, mtu ukiwa na ujumbe wako fulani ambao ni muhimu, unataka kumfikishia mlengwa au walengwa fulani, ukiutuma ujumbe huo kupitia jf, unamfikia mlengwa kwa haraka zaidi na kwa urahisi zaidi, hivyo hili ni bandiko, kwa ajili ya kufikisha ujumbe...
  9. Waziri Mkuu Majaliwa awataka Mawaziri wa Kilimo, Viwanda na Biashara, pamoja na uwekezaji kuja na mkakati wa kilimo cha kisasa

    Majaliwa ametoa maelekezo hayo leo Alhamisi Septemba 23, 2021 Moshi mkoani Kilimanjaro wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha pombe kali cha Serengeti. Amesema mawaziri hao wanapaswa kujipanga vizuri kwa kushirikiana na sekta binafsi kuja na mkakati utakaoboresha kilimo nchini. "Natoa maelekezo kwa...
  10. Waziri Profesa Mkenda, acha kutumika kuua Viwanda vya ndani vya Mbolea

    kwanza nianze ku-Declare Interest Mimi ni mdau wa Kilimo wa miaka mingi kuanzia Vitunguu na Nyanya Iringa mpaka Mahindi na Maharagwe Kia. Nmekua kwa muda mrefu nikitumia Mbolea zinazotengenezwa ndani ya nchi kwa ajili ya kupandia na Mambo mengine yahusuyo kulima, Tulianza na Mbolea ya mavi ya...
  11. F

    Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda unaiyumbisha KNCU

    Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesababisha kuahirishwa mara mbili mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro(KNCU) kwa sababu zake binafsi mkutano uliopangwa kufanyika jana ukasogezwa mpaka leo lakini mkutano huo umefutwa tena leo na kusogezwa mpaka Jumatatu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…