Huu ujumbe nimeuchukua kutoka kwenye grupu la wananchi
Tumsifu yesu kristo,Bwana yesu Asifiwe,Mwanakondoo Ameshinda,Asalam Aleykhum Jamia'Shalom-Ndg Zangu Naamini Kila mmoja wetu ameamka salama na Familia.
Kwa Unyenyekevu wa Moyo wangu' na Shukrani Kwa Mungu Nawatakia Siha Njema mliojaliwa...
Wakuu habari za Leo! Naomba niwashirikishe sakata la kungolewa Mita/ Dira za Maji na Koki lililotokea usiku wa kuamkia Leo huku kwetu Kiluvya Madukani/Almaarufu kwa Omari, Makurunge Jirani na shule ya Msingi Maximilian.
Ambapo , Leo asubuhi wakazi wengi wa maeneo haya wenye mita mpya za maji...
Waziri wa maji Aweso.
Naandika barua hii kila mtanzania anakusikia. Mnamo mwezi wa 7 mwaka 2024 itembelea Kinyerezi ukasikiliza adha kubwa shida maji. Ukaongea na eneo hili likabaki chini ya uangalizi.
Mh. Aweso ni aghalabu sana kushindwa kutekeleza maneno yako lakini kwa masikitiko makubwa...
Mlisha ambiwa na Bwana Aweso msikate maji weekend.
Mmevizia kaenda kuwatafutia fund Korea mnakata maji. Ila Dawasa mna makusudi sana mradi mharibu mipango ya waziri tu.
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, alimzawadia Diamond Platnumz KEKI kwenye kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwake hapo jana Oktoba 2 na kula pamoja diko la birthday nyumbani kwa Staa huyo wa Bongo Fleva.
Diamond alishukuru Waziri kwa heshima hiyo na kutoboa siri kuwa Waziri alihusika kupendekeza wimbo...
Waziri wa Maji Juma Aweso alivyokuja alibadilisha uongozi kwenye idara ya maji hapa Morogoro na akasema maji yawe yanatoka hadi weekends kwa katikati ya wiki waweke utaratibu kama kutoka yatoke mara mbili au moja na kuanza kutoka nikuanzia asubuhi hadi saa sita usiku, lakini yanakuja kutoka...
Anonymous
Thread
juma aweso
kero huduma majimaji morogoro
waziriwamaji
Huyu Mzee sijui anaongea kutoka kijiji gani ila lafudhi ni ya Kibena, yaani watu wa Njombe ana hoja asikilizwe!
Soma pia: Serikali Yaja na Mfumo Maalum wa Kuondoa Changamoto ya Ubambikiwaji wa Bili za Maji kwa Wateja
Waziri wa Maji Jumaa Aweso, amemsimamisha kazi, Meneja wa usambazaji maji Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) Eng Thomas Ngulika kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo.
Waziri Aweso ametangaza uamuazi huo leo Jumanne tarehe 23 Julai 2024 akiwa kwenye ziara ya...
Wizara nyingi wamepangwa marafiki ili kujichotea pesa za serikali, lakini nahisi sasa wa-TZ pia tunahitaji Gen-Z yetu ipambane na uchafu ndani ya wizara zetu.
Huyu anayejiita ni waziri wa maji hafai! Yeye ni kelele tu na kutaja jina la Samia. Kwani Samia ni maji? Miji yote nchini ina matatizo...
Waziri wa Maji Jumaa Aweso akunjua Makucha. DAWASA Waanza kulimia meno. Aendelea na Utumbuaji kwa Mameneja Wazembe.
Ikiwa ni siku ya tatu ya ziara yake Mkoani Dar na maeneo yote yanayo hudumiwa na DAWASA, Waziri Aweso ameendelea kuchukizwa na utendaji Mbovu wa DAWASA.
"Ukicheka na nyenyere...
Nilifika sehem moja kinyerezi kwa casto. Nilishangaa maji yanauzwa wakati maeneo mengine hayatoki. Ni hujuma.
Na Nadhani sio pia inahusika. Ili mama asipite 2025.
PIA SOMA
- Dar: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa DAWASA, Shaban Mkwanywe kwasababu ya uzembe kazini
AWESO AIPANGUA DAWASA, AIWEKA CHINI YA UANGALIZI MAALUM
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemtaka Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA), Kiula Kingu akae pembeni kwa muda, pia amemsimamisha kazi, Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji Maji-DAWASA, Shaban...
WAZIRI AWESO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA DAR ES SALAAM
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya ziara ya kushtukiza jijini Dar Es Salaam akitembelea maeneo muhimu yanayopata huduma ya Maji kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA).
Ziara hii inatarajiwa kufanyika maeneo...
Habari za jioni ndugu,
Kwa sasa maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam hasa maeneo ya Manzese napoishi kumekuwa na kero kubwa ya maji na maji yanaweza kutoka lisaa limoja tena mara moja kwa mwezi mzima.
Na DAWASA wamekaa kimya hakuna wanachoeleza cha maana ukiwapigia simu. Ni vyema sasa Waziri...
Waziri wa Maji, lazima ujue nafasi ya ukurugenzi ni nafasi nyeti na Ina sifa zake zinazotolewa kiutumishi. Mkurugenzi wa Moshi MUWSA (mamlaka ya maji) Hana sifa Wala weledi wa kushika nafasi Ile, na amekuwa kero hata Kwa wafanyakazi wa ndani ya mamlaka , amekuwa muonevu na mtu namba moja kuvunja...
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso anashiriki Kongamano la Kumi na Tano la Uwekezaji katika Ujenzi wa Miundombinu (15th International Infrastructure Investment and Construction Forum and Expo) linalofanyika tarehe 19-21 Juni, 2024, Macao SAR, China.
Waziri Aweso ni moja wa waalikwa kati ya Mawaziri...
AWESO AHITIMISHA VIKAO VYA IDARA KWA IDARA WIZARA YA MAJI, ASEMA TAASISI ZINAFUATA
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akihitimisha Wiki ya Vikao vya Idara kwa Idara amewataka watumishi wa Wizara ya Maji kukagua na kujiridhisha na thamani ya fedha katika miradi maji ili kuisaidia wizara...
Hii ni hakika. Tunetoka kwenye mvua kubwa, mifereji ya Jiji la Dar na vijito bado vinatirisha maji. Wananchi wachota hayo maji kwa matumizi Yao ya kila siku.
Bila haya maji, Jiji la Dar liko kwenye hatari ya kindupindu.
Aweso changamka kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
Waziri wa afya pia...
Ulikuja ukaagiza maji yawepo, maagizo yalitupwa kapuni.
Waziri hawa watendaji wanatusababishia ubakaji kwa watoto na kinamama wakihangaika kutafuta maji.
Tusaidie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.