Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amewasili nchini Finland kwa ziara ya kikazi kuanzia tarehe 08 hadi 11 Oktoba 2024.
Alipowasili kwenye Uwanja wa ndege jijini Helsink, Mhe. Waziri Kombo alipokewa na Balozi wa Finland nchini Tanzania, Mhe...